Mnyika upo wapi?

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba yangu0716307470
 
Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.
 
khaaa! We ni mzee kweli? Mbona nilichoitaji na unachojibu ni tofauti? Au hujasoma nilichoandika?

nilisoma na nilielewa mahitaji yako. Kwakuwa najua kuwa utapata contact zake, nimeamua nikutume kwake.
 
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba yangu0716307470

Jaribu kum-PM Zitto ili akuunganishe na Slaa ili akuunganishe na Tundu Lissu ili akuunganishe na Anna Makinda ili akuunganishe na John Mnyika ili akutatulie mahitaji yako.
 
Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.

wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!
 
Jaribu kum-PM ili akuunganishe na Slaa ili akuunganishe na Tundu Lissu ili akuunganishe na Anna Makinda ili akuunganishe na John Mnyika ili akutatulie mahitaji yako.
we mwita mbona hivyo tena? Kum-pm ndo nin? Na huo mlolongo mbona mrefu? Tafadhal nisaidie ndgu.
 
wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!
mie nlijarib kumvumilia kwan ni mzee ila amekuelewa ndo maana kakushukuru"
 
wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!

Hivi watu wengine mnaonaga raha tuu kutukana watu ovyo ovyo?Mtu angalau angekuprovoke tungesema labda lakini wapi Mzee wa watu kakupa tu maagizo kama ukifanikiwa kumpata Mnyika.Na si lazima ulikuwa na hiari ya kukataa au hata kumpuuza usimjibu lakini ukaona haifai mpk uporomoshe mitusi?
Mtake radhi tafadhali tena sasa hivi..
 
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba yangu0716307470

hukumuona jana ITV?

au hauna macho?
 
Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.

Matamko yake yanaleta changamoto kwa vijana wanaofikiri si kilaza km wewe....unapenda matamko ya taarab kama ya Nape
 
Hivi watu wengine mnaonaga raha tuu kutukana watu ovyo ovyo?Mtu angalau angekuprovoke tungesema labda lakini wapi Mzee wa watu kakupa tu maagizo kama ukifanikiwa kumpata Mnyika.Na si lazima ulikuwa na hiari ya kukataa au hata kumpuuza usimjibu lakini ukaona haifai mpk uporomoshe mitusi?
Mtake radhi tafadhali tena sasa hivi..

nimeshawazoea.
 
Matamko yake yanaleta changamoto kwa vijana wanaofikiri si kilaza km wewe....unapenda matamko ya taarab kama ya Nape

vijana hawahitaji changamoto bila ya utekelezaji. Tunahitaji utekelezaji.
 
nimeshawazoea.

siyo umeshazoea,pia umezoea kile kitabia chako cha kupashwa moto kabla ya kuja hapa jamvi ndio maana una mawazo mnato.elimu udom imekushinda hili jamvi utaliweza. Stup*d.
 
Back
Top Bottom