Katiba mpya ibainishe hilii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ibainishe hilii!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mgen, Aug 17, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Great thinkers! Nawaomba sana mzame na tulitafakari kwa makini na kama litakubalika liwekwe kwenye Katiba Mpiya. Ni hili hapa, "KATIBA ITAMKE KWAMBA NCHI HII NI KWA WANANCHI HALISI TU." NA HAKI ZAO ZIBAINISHWE KIKATIBA. Naomba mnielewe kwamba sina maana kwamba watu wengine watengwe la hasha! bali haki zao ziwe na mipaka Kikatiba! kama ilivyo katiba ya India imebainisha wazi kwamba: "India is for pure indians." Nawasilisha.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  sounds good, wasiwasi wangu ni kuwa by then hakutakuwa na lolote la kujivunia kama MTz
   
 3. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mkuu, Hakika hatuna cha kujivunia kama wananchi! Hebu angalia kuanzia uwanja wa ndege hadi kamata mwananchi yupi asili anamiliki kiwanja? sasa utajivunia nini kwenye nchi uliopewa na MMunguj? Ili ikutunze na baadaye ukifa ikuhifadhi.
   
 4. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ukifikiria jinsi wa asia wanayoyafanya hapa Tz, utaona umuhimu wa mtazania halisi na haki zake kubainishwa katika katiba mpya.
   
 5. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sawa lakini mtanzania halisi ni yupi?ni yule aliyezaliwa tanzania au?au wewe unazungumzia rangi?kwa sababu wako watanzania wengi kwa maana ya kuzaliwa tanzania na wana haki zote za uraia lakini sio weusi.babu zangu wote,wa upande wa baba na mama hawakuwa watanzania kwa asili.je mimi ni mtanzania halisi?
   
 6. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  My understanding is that this is a transition government mandated to carry forward far reaching democratic and consitutional changes. We need a new consitution urgently, The judicially, the police, civil services all needs serious consitutional and institutional changes so that they can serve Tanznian. LAND REFORMS ARE ALSO A MUST JUST TO MENTION AFEW.
   
Loading...