CCM: Igeni hili kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Igeni hili kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBURE JASHA, Oct 8, 2011.

 1. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SALAAM KWA WANAJF WOTE
  Chama cha Mapinduzi mnabweteka na vitu vidogo sana ambavyo mwisho wa siku mtaingiza nchi kunako vita vya wenyewe kwa wenyewe au vita kali ya udini. Dalili zipo wazi. Lakini yote haya yanatokana na siasa za kitoto mnazofanya.
  Kuna mambo ya misimamo ambayo mnapoamua kuisimamia inazidi kwabomoa siku hadi siku kwa Mfano:-
  1. panatokea hoja nzito yenye maslahi kwa WATZ. Wabunge wenu wa CCM ambao wengi wao ni wanachama wa kawaida wa ccm. Wanaburuzwa na viongozi wa chama na maafisa wa Chama waliopo DODOMA (ambao kimsingi sio wabunge)kusimamia misimamo hasi kwa manufaa ya Chama na si Taifa kupitia kamati a wabunge wa CHAMA(kulinda watuhumiwa). Tofauti na wenzao CDM akisimama mbunge mmoja kuchangia anasimama badala ya Masalahi ya Nchi, na Chama chake. Kamati ya wabunge wa CDM ni Genuine kwani wao wanaongozwa na wabunge wenzao, wabunge wao ndio viongozi wao kitaifa kwa maana akisimama anaua ndege wawili wa jiwe moja.
  2. Embu niambieni wenzangu kuna afisa mmoja pale mkao makuu ya CCM anaitwa CHIZII . Cheo chake cha Mwisho ninachokifahamu kabla ya kwenda Makao makuu alikuwa Katibu wa CCM wilaya ya Same. LAkini mtu huyu ndio akiona wabunge wa CCM na Serilkali yao imeng'ang'aniwa Bungeni yeye ndio anaandika memo kwenda kwa Spika kuwaita haraka kurekebisha mambo. Ndie anaemkoromea Spika na waziri mkuu kwamba kwanini mnaruhusu hili lijadiliwe! mtu ambaye uteuzi wake umetokana na sifa kubwa ya kuimba kwenye mikutano!
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hao ccm ni sikio la kufa lisilosikia dawa.
   
 3. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mimi nahisi inawahusu magamba tuu au!
  huyo chizi anatekeleza majukumu yake, kama angekuwa anakosea wangekuchua hatua wahusika, ila wameridhika na hali ilivyo.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani wao chama kwanza maslahi ya taifa yanafuata. Lakinu sioni umuhimu wa CCM kuiga kila mfumo wa CDM kutakuwa hakuna utofauti na kutapunguza ladha ya uchaguzi. Hoja ya msingi ni wabunge wa CCM kuacha kusimamia maslahi ya chama zaidi badala yake waweke maslahi ya Taifa mbele kwanza.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CCM hawajui kusoma lakini hata picha nazo hawawezi kutafsiri.
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok, mwenye masikio na asikie!! Msg sent!!
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kilichobakia kwa magamba ni politics of survival, hawajali wanasurvive vipi, iwe kwa udini au ukabila na matajiri...
   
 8. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ccm ni chama kisicho na muelekeo kuweza kutambua sisi watanzania tupo ktk nyakati zipi na mwamko tulio nao
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu unawashauri CCM wanaosubiri kuzikwa siku chache zijazo?
  CCM wamezidiwa na virusi vimechachamaa hawataweza kupona tena!
   
 10. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ukiwaambia utasikia kama kawaida yetu. Kawaida kwao ndiyo mwongozo wa chama. Subiri, tutakizika siku si nyingi, ukiwashauri, wanatumia ubabe. Maamuzi yao ya kibabe na kila jambo wanalofanya si kwa masilahi ya taifa bali kwa maslahi ya wachache walioweka mizizi chamani. Mmetutesa mno! Bora chama kife.
   
 11. R

  Ruhita Jr Member

  #11
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  '2015'???????
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tatizo wakikubali hoja za upinzani wataonekana dhaifu na legelege kama mkuu wao.
   
 13. F

  Freshbrain Member

  #13
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmhhhhm
   
 14. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Imekuaje leo mzee mwita?
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Leo kulikoni mkuu?

  Hata mie simpati vile....!
   
 16. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu vp mbona kale kaposho ketu kaliko baki ujanipa au nape ajafata benki maana sridi zinatupita tu afu mkuu alituambia tusiwaache magwanda watambe mbna umekiuka kiapo?
   
 17. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siasa ni ujanja na mmoja anapo kosa ujanja wa kisiasa ndo anapopigwa mweleka.. so CDM wamekuwa wajanja kisiasa japo Magamba wamekuwa wajanja kwenye uchakachuaji (chakachulism) so kwa mtaji walionao CDM unapaswa usiigwe na Magamba ili tuwa-do mwaka 2015... au sio wadau...?
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanajua lakini makusudi tu!
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kama viongozi wenyewe ndio akina Nape,Mukama nk...wategemea nini? Lakini ni bora hao,kuna chizi mmoja anaitwa Lusinde,huyu kama kuna siku atakuwa kiongozi wa CCM naamini ndio siku ya kuizika CCM...very bogus!!!
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha ha ha ha ha..Wakuu jamaa nasikia wakati anapost hii comment alikuwa baa chakari...kwa hiyo msishangae akirudi baadae akabadilika...
   
Loading...