Why I voted Slaa, reasons that mafisadi don't see

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
366
Points
195

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
366 195
MWAKA 2005 sukari 600/=,Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=
MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=,Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000
MWAKA 2005 Mchele 600/=,Mwaka 2010 ni 1500, hivyo 2015 itakuwa 4400
MWAKA 2005 Kodi vyumba (2) 40,000/=,Mwaka 2010 ni 100,000, hivyo 2015 itakuwa 180,00o/=
MWAKA 2005 Umeme (unit 110 ) 9,000/=,Mwaka 2010 ni 24,000, hivyo 2015 itakuwa 60,000/=

Msharaha wangu 2005 ulikuwa 800,000/= sasa ni sh 1200,000/=


UWIIII NALIA NISAIDIENI MIMI , NINA DEGREE YA UHANDISI WA MITAMBO LAKINI MAISHA YANANISHINDA ,UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII, KWANINI KIKWETE KARUDI TENA HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII,YALAAAAAAAAAAAAAAAAA,UWI UWI UWI INAUMA, WAPI MWOKOZI WANGU SLAA ?
 

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
366
Points
195

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
366 195
My wife tells me we better flee this country!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani ehee hivi haya maisha ni Magumu kwangu tu ? , naambiwa Botswana Engineer kama mimi nikieenda huko naweza pata 6 times ya income yangu hapa . Uzalendo umenishinda jamaani . I want to flee this country now !
 

Forum statistics

Threads 1,391,050
Members 528,346
Posts 34,071,858
Top