Nape: Wapinzani wasipige kelele uchaguzi Igungu umekwishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Wapinzani wasipige kelele uchaguzi Igungu umekwishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Oct 9, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnuye amesema uchaguzi wa Igunga umemalizika na watu waache kupiga kelele hovyo kwenye vyombo vya habari.

  Igunga tumeshinda kwa kishindo kikubwa, watu wanasema chama kimegawanyika ni uzushi kwani kama kimegawanyika kisingeweza kupata ushidi mkubwa.
  Tusingeshinda kata 17 kati ya 22 zilikuwepo hivyo nawaambia CDM tumewashinda pamoja na kusaidiwa na vyombo vya habari tunawataka waache kulalamika kila matokeo yanapotangazwa alisema Nape.

  CCM walikuwa hawapambani na CDM bali na vyombo vya habari vyenye nguvu na vilivyokuwa vikisaidiwa na baadhi ya mataifa yenye nguvu yasiyoitakia mema nchi.

  SOURCE: MWANANCHI OCT 9 2011
   
 2. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili lujamaa toka kimeanza kujipaka wanja linaongea upupu kweli kweli. Kila siku tunaowasikia wakisherehekea ushindi wa Igunga ni CCM, ni jana tu Mkoani Kilimanjaro wamefanya sherehe iliyohutubiwa na Vicky Nsilo kusherehekea mambo yaliyokwishapita ya Igunga na sasa wanaandaa maandamano Dar kujipongeza kwa wizi wao wa Igunga, leo hili litakataka linakurupuka na Upupu wake!
   
 3. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Atakuwa anatafuta bwana huyo Mr.Said,muache amèfilisika kisiasa.
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,163
  Trophy Points: 280
  Vyombo vya habari?, wasomaji wa magazeti igunga ni wachache sana! Ccm ndo waliokuwa wakigawa magazeti ya uhuru hadi vijijini, igunga tuliweza kusikia chanel nyingi za redio na uchaguzi ulipoisha zote zimepotea hata ile ya rage nayo imepotea!. Uchaguzi ndo umemalizika lkn siasa bado!
   
 5. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia umri wa huyu Nape, naamini pia ameelimika vizuri (kama sijakosea), ungedhani angekuwa na fikra na maneno yenye busara lakini ni bonge ya hasara kwa kweli. Mtu ungedhani kuwa angeonyesha mwelekeo wenye akili alipopewa cheo chake lakini duh!
  I think he'll do better to leave politics and become a drag queen.
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ukisha kuwa ndani ya CCM hata ukiwa na degree za maana 200 utaonekana kama Khadija Kopa tu au Tambwe hakuna kitu .Kama unabisha anza kupima wasomi mahili waliomo ndani ya CCM .Wana degree moja au 2 au PhD's .Woooooooooote kabisa kwa umoja wao hawana tofauti na Prof Maji Marefu Mbunge wao .
   
 7. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi,
  Unajua ukiwa unatetea kitu ambacho kimekosa mvuto au hakuna hoja unayoweza kuisimamia kutetea kitu hicho.Itakulazimu kutumia mbinu zingine ambazo hazina mashiko kukitetea kitu hicho.CCM Haina mvuto na wameishiwa sera za kuwashawishi wananchi.Hata kama ungekua na Phd lazima tu utaanza kuwa mropokaji.Kwani mnamuonaje yule mzee mkama,i thought is the smart guy,lakini amekuwa Kiongozi wa ngazi za juu CCM kwa takribani mwaka mmoja tu lakini mmeona jinsi nanavyoropoka.

  Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nape mnayemjadili ni yupi, au ni yule zezeta wa magamba??? Mnapoteza muda kumpigia mbuzi gitaa!
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  nnauye jr kiwango kimeshuka kinyama!
   
 10. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #10
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haswaaaaa! hapo umenena.
   
 11. H

  Honey K JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,
  USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....  QUOTE=Gracious;2618713]Wanajamvi,
  Unajua ukiwa unatetea kitu ambacho kimekosa mvuto au hakuna hoja unayoweza kuisimamia kutetea kitu hicho.Itakulazimu kutumia mbinu zingine ambazo hazina mashiko kukitetea kitu hicho.CCM Haina mvuto na wameishiwa sera za kuwashawishi wananchi.Hata kama ungekua na Phd lazima tu utaanza kuwa mropokaji.Kwani mnamuonaje yule mzee mkama,i thought is the smart guy,lakini amekuwa Kiongozi wa ngazi za juu CCM kwa takribani mwaka mmoja tu lakini mmeona jinsi nanavyoropoka.

  Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.[/QUOTE]
   
 12. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema wanasumbuliwa na Jinamizi la kutokuamini kama wamepigwa Igunga! Mikwala ilikua kibao maneno kibao utasikia
  1.Chadema yaiteka Igunga
  2. Dr Slaa aiteka Igunga
  3. Chadema njia nyeupe Igunga
  4.Ushindi wanukia kwa Chadema Igunga
  5.Chadema wana subiri kumwapisha Kashindye!
  6. Na loongo longo kibaaaooo!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa hajistukii pumba anazotoa?
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  [/QUOTE]
  Wewe subiri mpaka uanze kuvimba ngozi kama Mwakyembe ndiyo utajua CCM ni nini!
   
 15. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  [/QUOTE]
  Kila mtanzania anajua ushindi mlioupata Igunga ni ushindi wa kuiba tu! Inashangaza sana unaweza kuwa na ujasiri wa kujivunia kitu cha wizi...!
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  [/QUOTE]

  nape wewe ukijana mwenzangu lakini hadi sasa nahesabu wewe ni kama mchawi, jaribu kufanya siasa zisizokuwa na mipasho wala vitisho kwa vijana, nchi hii sio mali ya bibi yako wala babako wala CCM, hii ni nchi ya watanzania.
   
 17. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Huyo anajitapa na "siasa ninayoendesha", ngoja wamkung'ute na Polonium halafu na yeye apelekwe India kwa "matibabu zaidi".
   
 18. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba mnahanya.omba ubalozi wa nyumba kumi!
   
 19. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
   
 20. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
   
Loading...