Kila nafsi itaonja mauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nafsi itaonja mauti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rweye, Oct 9, 2011.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,077
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana Jf nimeona nianze kwa kusema hili hapo kwenye thread ili niweze kueleweka vyema

  Kama ilivyo kwa watu,wanyama na mimea hata CCM nayo ni lazima itaonja mauti,mauti ya ccm ni mauti makubwa kwani haya mauti yanaonekana kujumuisha na watu ambao ni makada na viongozi wa chama mfano ni akina Sokoine,Chifupa na sasa naona mshale umeelekezwa kwa Mwakyembe,vifo hivi ndo alama ya mauti ya ccm,kifo cha ccm kinaitimishwa na vifo vya watu wake

  NB:Mie siyo mrithi wa sheikh Yahaya ila nimeongea kwa kutumia reasoning yangu.
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  KIFO kikumbe ccm na sio mwakyembe wala mwandosya, MUngu ajalala na wala ajaamua. Tusiwachurie wenzetu kwani hata sisi tu safarini
   
 3. k

  king11 JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna jambo baya kama kugombana na mtu , lakini mbeleni akaja kujikwaa basi ujue gharama za kujikwaa kwake unaweza kubebeshwa wewe
   
 4. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Eeeeeh kyara, utupele, mwakyembe na mwandosya uwape afya njema watu hawa bado tunawahitaji, uwalinde na nguvu zote zinazowatafuta na zilizopandikizwa na wenye chuki dhidi yao, wakapate kuaibika! Kyara atufigwe ! Amen.
   
 5. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Rwenye: Ashkhum nisahihishe kidogo kiswahili chetu, kuonja ni KITENDO cha kuchukua kiasi kidogo sana cha umbo kubwa, ili kupata uwakilishi wa umbo zima. Kuonja ni kama kugusa kidogo tu ili upate habari ya kuelezea au kujiridhisha na umbo. mfano kuonja chakula upate ladha, viungo na chumvi. kuonja chai, mchuzi n.k, kuonja kazi, unakwenda kazini only few hours, ukiona msoto mkubwa unaondoka. tunasema huyo ameonja kazi. kwa hivyo unavyosema Kila nafsi Itaonja mauti nadhani si sahihi, kwamba itaingia mautini kidogo tu na kutoka. mie nadhani ingepaswa isahihishwe iwe KILA NAFSI ITAKUFA.
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mh mie napita kwa sasa.Nitazuka baadaye kwa kweli .Ila nawaombea afya njema hawa watu wa Mungu lakini wako na kundi lao la mafisadi .
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa unamaanisha nini?
   
 8. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ''KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI" Ni maneno ya mwenye enzi mungu kwa maana ya aya katika kitabu kitakatifu cha QURAN na kwa hivyo si sahihi kwa mwanadamu yeyote kusahihisha aya ya MUUMBA!
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani si sawa ku PREDICT kifo cha mtu jamani!kusema unaona mshale umeelekezwa kwa Mwakyembe ni kumchulia kifo bure.Cha msingi tumuombee apone na arejee kuungana nasi tena.
   
 10. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45

  Aliye toa mada ameshakosea kutabiri kwa kunukuu kitabu kitakatifu. Mungu anakataza kutabiri kwa jinsi yoyote ile. Acha asahihishwe tu.
  Just passing, heh!
   
Loading...