Kuna kila dalili Jiwe kushinda uchaguzi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna kila dalili Jiwe kushinda uchaguzi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Oct 9, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu nimewaza sana.Nikafikiria mno kama katiba mpya na tume huru ya uchaguzi havitapatikana kabla ya uchaguzi mkuu TZ 2015 kuna kila dalilikua kuna chama kinaweza kusimamisha Jiwe likashinda.Sasa sijajyua wanaharakati wanfanya nini,imebaki miaka mitatu tu,wanne ni hekaheka za uchaguzi.Je ni maisha bora kwa kila mtanzania yataendelea?
   
 2. B

  BMT JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  maisha bora kwa kila mtz hakuna since 2005-2015,labda awam ya tano,na nina waswas kama katba mpya itajuwa imekamilka
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi pamoja na usomi wangu wote sijaelewa unaongelea nini. Unataka katiba mpya au Rais mzuri?
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu tuache kinyoosha vidole kwa wana harakati .Hali ya Nchi ni mbaya kila mahali watu wanalia dhuluma, ugonjwa , madini kuporwa , ujambazi nk nawe toka nje ungana nao usingoje wao pekee waanze kuwa sehemu ya historia toka kuandika JF hadi mtaani kwa uwazi .
   
 5. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama wewe ndo umesoma na nikilinganisha na unachokiandika humu basi kila mtu amesoma!

  Tunataka vyote viwili ila Raisi mzuri hawezi kutoka ccm hii ya mafisadi labda irudi ccm ya nyerere ambayo mwenyewe kaondoka nayo.

  Kumbuka Elimu ni kile kinachobaki baada ya kusahau uliyojifunza shuleni!
   
Loading...