JK fanya hili ili uonyeshe u-kanali wako ukichagizwa na amiri jeshi mkuu

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
Tunatakiwa kabla ya kuandika katiba mpya yafanyike marekebisho ya katiba iliyopo ili kutoa mwanya unaoruhusu vyama vyote vya siasa kufutwa na kuundwa upya pasipo kutumia majina ya awali. Kwa kufanya hivyo ushawishi wa vyama vya awali utaondolewa rasmi miongoni mwa watendaji wa serikali. Kwa kuondoa ushawishi wa wanasiasa kutasaidia kupata mwelekeo chanya wa uwajibikaji kuelekea katiba mpya. Kama tutakimbilia kuandika Katiba mpya katika kipindi hiki ambacho ndugu yetu Nape na wenzake wanaamini nchi hii ni yao [nukuu ya hotuba yake tarehe 9/10/2011] tutabaki kulekule tunapopakataa!! Pia mali zote [assets] za ccm na vyama vingine zirudishwa serikali sambamba na kuvifuta.
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Too myopic a view; the problem lies in the names and not policies and practices - is that you're fronting in here?????.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom