Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John Heche BAVICHA Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa Kwa CCM tunaelewa kuwa uvaaji wao ni kijani sasa kuvaa Magwanda kumetoka wapi?
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimekua nikiwaza mambo mbalimbali yaliyotokea, almost yote yameongelewa sana humu, nimekua nikijiuliza, watanzania tumekosea wapi? sipati jibu. Wakati flani nilikua naongea na baba yangu (mzazi)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
CDM imegundua ufisadi mkubwa MOSHI,chai ya mkurugenzi mil 45,ku up grade web ya manispaa mil 170 kwli jamani wameshusha chai had mil 1 na kuapgrad nayo imeshushwa yalisemwa hayo jana katk kata ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ngwilimi ambae alikuwa mkuu wa kitengo cha sheria voda katika mazingira ya aina yake amekuwa Company secretary amechukua nafasi ya Subira wanasema atapingiwa kazi nyingine! Rostam ni kati ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesoma kwa mshangao mkubwa makala kwenye gazeti la Mtanzania, Mtanzania hili hili ambalo mwaka mmoja uliopita lilikuwa sauti ya CCM sasa ndilo linaishambulia CCM kwa nguvu zote. Kuna nini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Watu wenye upeo mdogo kama Nape wanasema kuwa watu wanapendekeza JK aachie uenyekiti kwa ajili ya dhana ya kujivua gamba. Ukweli ni kwamba udhaifu wa JK ndio unazaa mapendekezo haya. Je, wakati...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu wa majungu wa CCM, Bw. Nape, leo atakuwa Mwanza ambapo tangu juzi wanazi wake walipita kila kona ya jiji kutangaza kuwa atakuwa hapa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara. maswali...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Amini usiamini yale aliyongea yule Mzee Mahimbo katika Mdahalo Dar na baadaye tukasikia ameaga dunia yanatabiriwa hata na makada wa CCM sasa- pata uhondo Leon Bahati Saturday, 15 October...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani Msekwa yuko times fm now. anatoa majibu ya ajabu ajabu, hata yale ya brother yana afadhali. Kwa nini tofauti na zamani sasa hivi kuna mafisadi wengi CCM. Jibu: Mafisadi walikuwepo toka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Afisa utumishi wilaya ya Luddewa Bw. Juma Ally BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoa mpya wa Njombe (Iringa) limemsimamisha kazi kuanzia afisa utumishi mkuu wa Halmashauri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA. IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama vile ilivyo asili ya kila kitu, ni kwamba kuna wakati wa kuzaliwa kwa kila kitu na wakati wa ukomo(kufa) kwake. Hata hivyo kabla ya kufikiwa kwa ukomo huo kuna vipindi vya nyakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waliomuibia Dk Chami waendeleza ubabe Saturday, 15 October 2011 07:56 Daniel Mjema, Moshi KUNDI la wahalifu linalodaiwa kuvunja nyumba ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Cyrill Chami...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
16 Oktoba 2011 09:57 Maandamano duniani kote ya kupinga kile waandamanaji wanakiona kama uroho nausimamizi mbaya wa uchumi duniani yameingiasiku ya pili. Katika miji kadhaa - kutoka Auckland hadi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Picha ya Kwanza: Mchungaji Msigwa Mbunge wa Iringa mjini Picha ya pili: Baadhi ya vifaa vya michezo alivyogawia timu za shule Iringa. Mbunge wetu achangamsha kongamano kwa kunukuu hotuba...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo hii kuanzia mchana huu mida ya saa 8:00 hapa Rujewa kuna mkutano wa CHADEMA ambao unaohudhriwa na kuhutubiwa na Wabunge wote CHADEMA mkoa wa Mbeya. Katika mkutano huu kuna uwezekano...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
JK akiachi umwenyekiti watamtoa kwenye urais kama Tabo Mbeki wa A/Kusini.Akazanie na kutekeleza dhana yake ya kujivua gamba.JK ukiangalia nyani usoni atakumalizia mahindi shambani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya vugu vugu kubwa la uchaguzi na harakati nyingi na majungu mengi pamoja na vurugu za hapa na pale baina ya vyama vya siasa na mengineyo,naweza KUTABIRI wazi kutokana na habari nilokuwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wana jf hebu tafakarini hii, Albino amekatwa mkono. RPC anatangaza dau la Tshs 5,000,000/- kwa atakayetoa taarifa za kuwezesha mtuhumiwa akamatwe. Je isingefaa jeshi la police kutumia mbinu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…