Uvaaji wa Magwandwa imekuwa ni fasheni?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
chadema-vijana.jpg

John Heche BAVICHA

08bennomalisa.jpg

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa

Kwa CCM tunaelewa kuwa uvaaji wao ni kijani sasa kuvaa Magwanda kumetoka wapi?
 
Kujivua gamba inagusa aspect zote za maisha;uvaaji,uongeaji n.k the issue was chama kilikosa mvuto na inavyoonekana vijana walivutiwa na magwanda!tuache majungu ukweli ni kwamba Benno amependeza!!
 
duuh lahaula najua CDM ni vazi lao rasmi la shughuli za kisiasa na walivaa wakiiga mavazi aliyovaa Nyerere wakati wa harakati za kugombea uhuru, kwao pia wakimaanisha wako katika harakati za kugombea uhuru, sababu tunajua CDM ni wanaharakati sio wanasiasa na zinakuwa na rangi ya kijivu ka mgambo au brown ila nao CDM sasa naona wameweka mbwembwe mara nyeusi sijui cream, tusubiri halima mdee avae gwanda la pinki. Kwa upande wa CCM ni ulimbukeni hasa UVCCM hilo si vazi stahili kwao kwani wao hawako katika harakati wao ni watawala, wanawaiga sana CDM sijui wanafikiri CDM wanapendwa kwa kuvaa kombati? wajiulize mara mbili mbili. Mimi ni mwana UVCCM hai tena hai kabisa ila kwa sasa sipendi mtindo wa CCM kuiga siasa za CDM hasa Nape naye kaanza sijui nyaraka za siri what a crap?????!!!!!!! tuache kuiga mbona mavazi yetu na skafu zilikuwa zinapendeza tu Malisa acha usharobaro siasa sio mavazi ni sera
 
CDM Tunapovaa magwanda tunajulikana kama Makamanda, sasa cjui Magamba wanajiitaje. Labda cjui the Green Guard or smthng.
 
Bora umekua muwazi mkuu na uwapashe hao vilaza pia unachelewa mkuu huko uliko
 
ya kaisari muachien kaisari na msilolijua ni km usiku wa giza hizo ni special kwa ajili ya watu flan tena wengi ni makamanda ndani ya uvccm,hazijaanza juz wala jana ni tangu enzi hizo,polen kwa kuchelewa kujua
 
CDM Tunapovaa magwanda tunajulikana kama Makamanda, sasa cjui Magamba wanajiitaje. Labda cjui the Green Guard or smthng.

makamanda wa nini au wa jeshi gani? mkivaa hivyo si tunawatambua kama wanaharakati na ndio mlivyo CCM ni watawala na ukweli ndo huo ndo maana tunawaambia masharobaro malisa na wenzake waache kuiga swali je Che- Gueavara alikuwa kamanda au mwanaharakati?
 
ya kaisari muachien kaisari na msilolijua ni km usiku wa giza hizo ni special kwa ajili ya watu flan tena wengi ni makamanda ndani ya uvccm,hazijaanza juz wala jana ni tangu enzi hizo,polen kwa kuchelewa kujua

CCM walivaa enzi hizo tukiwa bado ktk harakati sasa tuko ofisini we are leaders lazima tu look official hayo ya harakati tumwachie mbowe na kina lissu
 
Makamanda wote wa Uvccm wanapoapishwa huvaa gwanda tangu TANU youth league! CDM waliiga CCM,tofauti ni kuwa CCM wanavaa magwanda ya Kijani na nyeusi,CDM wanavaa kombati ya Mgambo wa Jiji
 
chadema-vijana.jpg

John Heche BAVICHA

08bennomalisa.jpg

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa

Kwa CCM tunaelewa kuwa uvaaji wao ni kijani sasa salwa la kuvaa Magwanda limetoka wapi?

Wameiga CDM wao kwa akili zao labda wanadhani CDM kinapendwa kwa sababu wanavaa magwanda. Hamuoni walipo tumia helikopta nao wakanunua? hamjui walipoona kuna Dr nao wakajipa jina Dr? mpaka rangi ya bendera yao watabadilisha.
 
CCM walianza na falsafa ya Magwanda tangu kuanzishwa kwa chama cha Mapinduzi, ingawa neno Mapinduzi kwa maana yake halisi limepitwa na wameshasahau kwa takribani mwongo mmoja na zaidi wakati walipokuwa wanajivika magamba. Sasa tusemeje? Wanahangaika kuona ni mbinu gani itawavutia wananchi. Mi nadhani wanahitaji hata kubadili logo an slogan zao waweke logo na slogans zenye matumaini mapya na si lazima wakumbushwe na CHADEMA kuhusu mbinu za baba zao na babu zao. Wawe wabunifu zaidi ama sivyo wa-Tanzania wa leo sio wa miaka iliyopita hakuna kupumbazana tena
 
Makamanda wote wa Uvccm wanapoapishwa huvaa gwanda tangu TANU youth league! CDM waliiga CCM,tofauti ni kuwa CCM wanavaa magwanda ya Kijani na nyeusi,CDM wanavaa kombati ya Mgambo wa Jiji
Teh teh...Magamba wameishiwa kila kitu wamebaki kufa tu.Nguo hizi si ndo za askari wajiji la Dar? Kasoro tu malisa hana Rungu!Hata wakibadilisha nguo wabaki hata uchi, haitawavutia watu tena, la kuvunda halina perfume!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom