JK ukiachia Kiti cha M/Kiti CCM yatakukuta ya Tabo Mbeki wa A/Kusini!

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
543
JK akiachi umwenyekiti watamtoa kwenye urais kama Tabo Mbeki wa A/Kusini.Akazanie na kutekeleza dhana yake ya kujivua gamba.JK ukiangalia nyani usoni atakumalizia mahindi shambani ukimwangalia.Wanataka uachie umwenyekiti wana wivu wa kike/madaraka kwa kuwa wanakwepa kujivua gamba wakijua kuwa wao ni magamba.Wachukulie hatua kabla hawajakwepa mitego yako.Haya ni mawazo yangu nakaribisha kukosolewa na maoni ya wengine.Karibuni wanajamvi.
 
Back
Top Bottom