Wabunge wa CHADEMA Mbeya waunguruma Rujewa....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Leo hii kuanzia mchana huu mida ya saa 8:00 hapa Rujewa kuna mkutano wa CHADEMA ambao unaohudhriwa na kuhutubiwa na Wabunge wote CHADEMA mkoa wa Mbeya.

Katika mkutano huu kuna uwezekano akawepo mzee Nyimbo toka Ilembula na kulingana na ratiba naye atapata fursa kutoa hotuba katika mkutano huu.

Watu wanamiminika kutoka sehemu mbalimbali za mji wa Rujewa na vitongoji vyake.

Hakika ngoma inogile hapa Rujewa Leo........
 
Toa upuuzi na u selfish wako hapa,kwani watoto sio watu?
watoto wanahitajika kujiandaa na masomo kesho na sio kwenda kuangalia magwaanda kijana wewe mikutano kila siku haijengi nchi
 
Ndugu zangu tuachane na wafa maji tuendelee kupeana habari za makamanda wetu
 
Back
Top Bottom