Natabiri: Vigogo wa CHADEMA kuhama chama kabla ya 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natabiri: Vigogo wa CHADEMA kuhama chama kabla ya 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calipso, Oct 16, 2011.

 1. C

  Calipso JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya vugu vugu kubwa la uchaguzi na harakati nyingi na majungu mengi pamoja na vurugu za hapa na pale baina ya vyama vya siasa na mengineyo,naweza KUTABIRI wazi kutokana na habari nilokuwa nazo ( usiniulize nimezipata wapi ) kuna kila aina ya dalili kutoka kwa baadhi ya vigogo wa chama cha CHADEMA kuhama chama kutokana na baadhi ya viongozi hao kutokubaliana na mwenendo wa chama hicho...

  Naweza nikataja majina ya baadhi ya viongozi hao lkn inawezekana nikawaharibia harakati zao hizo ama nikazidisha fitna ni bora tu wakayamaliza wenyewe.

  Ila ninachowaomba tu endapo watahama ni bora kuhamia vyama vyengine vya upinzani kuliko kwenda kwa mafisadi wa CCM,kwani wakenda huko laana tu ya wananchi itawakumba kama ilivowatokea wenzao walopita,nafikiri mifano ipo Wawaangalie kina Tambwe hiza,Atiki ( wamekutwa wanagombana kwa kulipa mishkaki ) salum msabah ( yupo hoi kitandani ). Nafikri wadau mtawakumbusha na wengine walowahi kutokea.

  Bora kina Lwakatare na Pr Safari hata kama hawatajiki kama mwanzo lkn bado heshima zao zipo juu sana na wanakubalika popote,ndio maana nikasema bora kama wana dhamira hiyo basi waende vyama vyengine vya upinzani ama wabakie tu CHADEMA kuliko kwenda CCM
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa breaking news.
   
 3. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kigogo maana yake ni Mzee aliyekaa madarakani muda mrefu na ana harufu ya udikteta na ufisadi....

  CDM hakuna vigogo, vigogo wako CCM, labda ungesema makada.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,781
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Mh.Majimarefu umeamua kumrithi Sheikh Yahaya???
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  akili masaburi haya ati.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  CDM graph yake ina paa kwenda kulia sasa wahame waende wapi?ccm inashuka ndio maana ccj,cck vimeanzishwa kupokea wakimbizi wa ccm
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa magamba wamezoea kukalia vogogo basi wanafikiri kila kiongozi wa chama fulani ni kigogo.
   
 8. z

  zenge Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawaomba wasihame hicho chama maana kina dalili ya kuleta ukombozi wa Tanzania.Kwa vile unadai ya uhakika kwako basi wape ushauri wa kubaki.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mpaka hapo umesha waharibia hata kama hutataja majina .Intelijensia ya Chadema itafanya kazi mara 2 lakini naamini huu ni umbeya unaleta kupima maji .Mwenendo upi wa Chama ambao hao unawaita vigogo hawaufarahii ? Maana wale jamaa wanasema kwa sauti moja .
   
 10. s

  security guard JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Kwa kauli zilizo za wazi na tuhuma ambazo baadhi ya viongozi wa chadema wamekuwa wakipeana ni wazi kuwa hii thread itakuwa na ukweli ingawa mwandishi ameifunika sana kiasi cha kutunyima namna mzuri ya kujadili....!
   
 11. s

  security guard JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Kaka ni kweli unaamini hiki unachokisema...?
   
 12. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema kawashika pabaya eyee. Kweli batitda alikuwa target. Tulipiga chini.
   
 13. O

  Omr JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni chizi na machizi bora wabaki na machizi wenzao
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kaka una post 4 tu kaa macho au uko kazini kama hao wanao bwabwaja ? Mtangojea weee mtachoka .Chadema wakigundua wewe ni gugu unakatwa mara moja .Yule Mbung gani sijui mwache uone akatavyo katwa.Watu wako kimya wanafanya kazi wewe endeklea kuota huko security guard .
   
 15. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Bila shaka CDM imekwisha vuka hatua ya kuangalia ni nani anahama chama. Kabouru aliondoka kwa bei ya pesa taslimu na ubunge Afrika mashariki, lakini chama kimeendelea kushamiri. CDM inatakiwa ku-focus kwenye nini watafanya 2015 baada ya kuchukua nchi. Cheyo anaweza kuondoka UDP ikayumba sana, au Mtikila kwa chama chake, lakini kama kuna mwanachama yeyote ndani ya CDM anayedhani anaweza kukiathiri chama kwa kuhama, huyo ni wa kuhurumiwa.
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Uwezo wako wa kudanganya na kutengeneza hoja umeishia hapo?
   
 17. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  NCCR-Mageuzi, nani anakitengeneza?
   
 18. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Utabiri ni kupiga ramli.Upigaji ramli hauhitajiki JF.
   
 19. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata kada hatulitaki, CDM tunaprefer zaidi kuitana MAJEMBE rather than Makada, Makada inakuwa ni kama yale mabwanyenye ya CCM. Neno kada limepoteza sifa na mvuto kwa CDM.
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Kama Lema ni chizi na akashindanishwa na Batilda Buriani na Lema akashinda unadhani hapo wanachi nani walimuona chizi?
   
Loading...