Dau la kutoa taarifa za mtuhumiwa

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Wana jf hebu tafakarini hii,
Albino amekatwa mkono. RPC anatangaza dau la Tshs 5,000,000/- kwa atakayetoa taarifa za kuwezesha mtuhumiwa akamatwe.
Je isingefaa jeshi la police kutumia mbinu za ziada kuwezesha kuzuia albino wasishambuliwe kuliko kusubiri tukio litukie ndipo hatua za zima moto zichukuliwe.
Je isingekuwa bora RPC kutangaza msaada kwa muathirika ili apate msaada wa kidaktari hata nje ya nchi kulikoni kutoa fedha hiyo kwa mtu anayeweza kutoa taarifa mapema na zikasaidia kuzuia?
Mi sioni faida ya mtindo huu wa kushughulikia majanga.
Nawasilisha.
 
viongozi wetu wanawaza pesa tuu!!!hawafanyi utafiti kwa nini mauaji haya ya albino yameanza tena!Nakuhakikishia wangemwagwa JWTZ pale geita kesho huyo mtuhumiwa angekua ameshakamatwa
 
Kwani umesahau walipopandsha bei ya mafuta ya taa eti sababu wenye sheli wanachakachua?walishndwa kuwakamata wakaamua kutumia system ya dawa ya jeuri kiburi?hawapo makin,maji yamemwagka,cha mhim ni kujiweka sawa co kuja na mbinu za kitoto za kukamata wahalifu.
 
Back
Top Bottom