Msekwa kweli kazeeka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa kweli kazeeka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, Oct 16, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani Msekwa yuko times fm now.

  anatoa majibu ya ajabu ajabu, hata yale ya brother yana afadhali.

  Kwa nini tofauti na zamani sasa hivi kuna mafisadi wengi CCM.
  Jibu: Mafisadi walikuwepo toka kuumbwa kwa dunia, hata yule alomuuza Yesu alikua fisadi, hakuna cha kufanya ni kuomba tu Mungu ili mafisadi wapunguze tamaa ya kujilimbikizia mali

  Mytake: huyu chief hana mawazo kabisa ya ccm kukaa pembeni, anatutaka tuvumilie tu wakati wao wanafuja pesa za walipa kodi, HAIWEZEKANI!
   
 2. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  '
  watu kama ww wanatakiwa kama 1000 tu ambao hawataki kuonewa then tunazama msituni tukiibuka watatembelea nywele tu
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani Aminata ungemsikia huyu jamaa leo ungepata hasira, amejisahau kabisa, anatoa majibu mepesi na ya (samahani mods) kipuuzi sana.

  Nchi inatafunwa hii huwezi kusema tuombe tu Mungu mafisadi wapunguze tamaa, kwa nini tusiongelee kuwaondoa madarakani tunaongelea jinsi ya kuwavumilia, yaani sikutegemea kutoka kwa mtu, kiongozi kama yeye
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  Msekwa kumbe ana long plan ya kuendelea kuwafyonza walalahoi na kuwadanganya wamwachie mungu swala la ufisadi? Jamani mnajua kuwa wakoloni walitanguliza habari ya mungu kwa wa Africa kupitia wamissionary ndipo ukoloni na biashara zote haramu zikafuatia baada ya kuwapumbaza wa Africa kwa kutumia dini.

  Msekwa hizi ni enzi za bandika bandua, vaa nikuvue; wapo zaidi ya watanzania maelfu na malaki wenye degree ila hawana ajira wapo mtaani vijiweni kwa kukosa ajira kutokana na Serikali legelege na majibu mabovu kama haya unayoyatoa. Ninaamini huko mtaani walipo hawa wasomi wasio na ajira wataibuka na idea nzuri tu ya kisomi mfano wa MUNGIKI iliyoanzishwa na wasomi wa Kenya wasio na ajira.

  Watawala jidanganyeni na endeleeni kutuzuga kwa kupitia Mungu ila ni kesho kutwa tu watawaliwa watapaza sauti kwa pamoja dhidi ya Serikali hii kwa namna yoyote Mungu wao atakaowabariki kuifanya.

  - tazama hii documentary A KENYA SPECIAL MEETING MUNGIKI
  [video]www.youtube.com/watch?v=va5K54TNU5k[/video]
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante Daudi, nimependa sana documentary
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,402
  Likes Received: 414,710
  Trophy Points: 280
  huyu babu ni ishara ya maovu yalivyokithiri nchini hadi ikufikia kiwango cha kuonakekana ni sawaswa kabisa..................asichojua ni kuwa hakuna mapana yasiyokuwa na ncha....................hata yeye na maovu yake dhidi ya jamii yetu yatafikia kikomo hivi punde tu....................nobody lives forever but we account for our lives forever and evermore..............
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Majibu rahisi kwa maswali magumu ndio kawaida ya viongozi wa CCM na wanachama wao.....
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  He! Kwa hiyo tusubiri Mungu ndiyo atuondolee mafisadi kwa kuwapunguzia tamaa?? Tumekwisha jamani
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mhhhh!
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mbona tulishakwisha zamani, hapa magamba wanaokoteza tu masalio yetu
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Tumuombe Mungu!
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hopeless guys like him were high profile government officials back then that is why we are geting poorer and poorer.
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  tanzani ni nchi tajiri sana, watanzania wanalipa kodi sana, hizi pesa na resources zetu zinatafunwa na nani? miaka 50 ya CCM mi sioni barabara, sioni maji, umeme hakuna, kila nikisikiliza habari naambiwa (mtu niliyetegemea tutakuwa wote katika mapambano) amesafiri, tena hizo safari zinalipiwa kwa kodi yangu.. . . . . HAPANA! hii si HAKI!
   
 14. M

  Mboja Senior Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaa choo cha site!
   
 15. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hayo magamba mazee yalitakiwa yawe yamepumzika huko vila lakini wanaziba nafasi za kazi za watu
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  inasikitisha sana kumbe hawamuogopi Mungu ndo mana wanaiba tu
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  hajakosea kitu.

  Hakuna linalomshinda mungu, tudumu ktk maombi hakika mungu atasiki kilio chetu.
   
 18. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Neno la Mungu linasema ''watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  yeye ni among wa hao mafisadi ndo maana anajing'atang'ata!!
   
 20. M

  MyTz JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tuko kwenye maombi ya ujasiri wa kutumia akili na nguvu alizotupa MUNGU kuwang'oa yeye na makupe wenzake...
   
Loading...