Mjadala wa Kumpunzisha JK kama M/kiti Hautokani na Gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa Kumpunzisha JK kama M/kiti Hautokani na Gamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Oct 16, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watu wenye upeo mdogo kama Nape wanasema kuwa watu wanapendekeza JK aachie uenyekiti kwa ajili ya dhana ya kujivua gamba. Ukweli ni kwamba udhaifu wa JK ndio unazaa mapendekezo haya. Je, wakati wana CCM walipopendekeza JK asigombee tena kama hawezi kuchukua maamuzi magumu dhana ya gamba ilikuwa imeanza? Nakumbuka kulikuwa na mjadala mkubwa wa JK kutogombea tena 2010. Uongozi dhaifu ndio unazaa mijadala wala si dini, wala gamba linalomwandama JK. Kuna taarifa pia JK anahaha aweze kumweka mtu wake maana anaogopa asipoingia mtu wake atamwaandama sana Riz kwa utajiri wake na pia wale watu corrupt walio karibu nae
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii mada imejaa upuuzi mtupu.
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita wakuu
   
 4. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Unapofanya mabaya wa2 wanakaa kukuzungumzia na hata mazuri pia,lkn yakiwa mazur utasemwa kwa uzur, yakiwa mabaya lzima usemwe kwa ubaya.
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tatizo la CCM ni rushwa!. Kama CCM inataka kubadilika ni kwenye hili hakuna lingine!. Je mnatafuta mwenyekiti anayejua kuiba kura au mwenyekiti atakaye tatua tatizo la rushwa. Bila kuwa wakweli mtalaumiana kila siku lakini tatizo kubwa ni rushwa kwenye shughuli za serikali.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hakuna pointi ya ku-comment hapa. Upupu mtupu.
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mtaamua wana magamba wenyewe mie napita tu!
   
 8. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Upupu upo wapi hapo? Alichoeleza mtoa mada ni sahihi kabisa. JK ni dhaifu sana. Haiwezekani viongozi wa CCM wananyukana na kudhalilishana yeye kimyaa kama hayupo vile. Kuna nadharia mbili nazijenga. Inawezekana makundi ndani ya CCM yamemzidi nguvu au anawaogopa wale wanaonyukana. Salama ya CCM ni kumng'oa JK. Hata ktk nyumba, iwapo watoto wanatukanana, kudhalilishana na kupigana na baba mwenye nyumba upo kimya unakunywa kahawa, ni ulegevu. JK aheshimiki ndani ya CCM. Ang'oke tu
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na wasiwasi ile kauli bwa mdogo katumwa aitoe mana sio bure ona sasa aibu kwake...................kuna UWALAKINI hapa
   
 10. p

  potokaz Senior Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  time wil tel
   
 11. T

  Thegame JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 2,048
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  JK alikosea sana aliporidhia dhana ya kujivua gamba. Labda hakujua kwamba yeye ndiye gamba lenyewe linalotakiwa kuvuliwa!
   
Loading...