DOWANS imeteka kitengo cha sheria TANESCO

Ochu

JF-Expert Member
May 13, 2008
976
47
Ngwilimi ambae alikuwa mkuu wa kitengo cha sheria voda katika mazingira ya aina yake amekuwa Company secretary amechukua nafasi ya Subira wanasema atapingiwa kazi nyingine!

Rostam ni kati ya wamiliki wa Voda na anaidai tanesco case ya dowans. Kwa hiyo kaenda kuharakisha malipo ya RA.

Kumbuka Ngeleja nae alikuwa voda nafasi yake ikaridhiwa na Ngwilimi na ndio waziri wa idara husika.

Mawakili wa tanesco ni Rex walikuwa tenants wa Rostam katika jengo la Mirambo 50 ambako ndiko ofc za RA zipo kwa hiyo walikuwa wanashare corridor.

kweli team imekamilka....tunacheza nje na ndani
 
petha pethaa, pethaa ndiyo thabuni ya roho - mwenye pethaaa -- mwenye pethaa siyo mwenzio. penye uthio penyetha rupia.

Nawashauri watanganyika wenzangu tulilipe tu hili deni maana tunavyochelewa kinazidi kukua na hawa wawekezaji watuwezi kushindana nao - wameshawekeza hadi kwenye miili yetu.
 
Back
Top Bottom