Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Alfred Lucas - Imechapwa 19 October 2011 WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, hajui "kinachoendelea" eneo la kambi ya jeshi ya usafirishaji-Kunduchi (KTC)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Si siri tena kwamba Lowassa ana mkakati mkubwa wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Na wale Thomases wajue kwamba hakuna atakayeweza kumzuia Lowassa kwa sasa. Malecela alikuwa na mikakati kama hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, amewataka Watanzania kuacha tabia ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mgungira Sengeke Gadala akichota maji kwenye kidimbwi jirani na eneo la shule ya sekondari Wembere kutokana na kukosekana kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa mimi ni mpinzani na tokea nimepata fahamu zangu nimekuwa upinzani na sikuwahi hata siku moja kukishabikia CCM ktk maisha yangu kwa mengi walotufanyia na nimekua ktk harakati za...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
SERIKALI imesema inachukua hatua mbalimbali za kukuza uwekezaji wa ndani kwa lengo la kuongeza nafasi za ajira kwa vijana. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Milton Mahanga aliyasema hayo Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nimeikuta hii kule Wanabidii, Naona Mbunge Kigwangalla sasa ameanza kufanya kweli, Resolute nao wakae sawa sasa! Wananchi wa Kijiji cha Mwabangu ambao wamedhulumiwa haki ya kumiliki...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Jana nimemshuhudia Edward Lowassa akiirejea kauli yake ya miaka miwili iliyopita akidai kwamba yeye na Rais Kikwete hawakukutana barabarani, akimaanisha kwamba urafiki wao huo ambao unadaiwa...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Imeandikwa na Veronica Mheta, Arusha; Tarehe: 21st October 2011 KESI ya kufanya maandamano bila kibali inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wafuasi wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tundu lisu ndani ya viwanja vya magomen
0 Reactions
156 Replies
17K Views
THURSDAY, 20 OCTOBER 2011 19:27 NEWSROOM * Awakana CHADEMA, awaonya Watanzania MFANYABIASHARA maarufu nchini, Jaffer Sabodo, amesema hajahama na wala hana mpango wa kukihama Chama Cha...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Mfanyabiashara maarufu wa nchini, Mustapha Sabodo, ameahidi kumuunga mkono mgombea urais atakayependekezwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu ujao. Sabodo...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Tanzania imezidi kufanya vibaya katika mizania ya rushwa katika nchi tano za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kupanda kutoka nafasi ya nne iliyokuwa ikiishikilia mwaka jana hadi ya tatu mwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kadiri siku zinavyopita ndivyo migogoro ya kati ya wananchi na wawezekezaji inavyozidi kuongezeka. Kwa maoni yangu, chanzo cha matatizo ni serikali ya CCM, ambayo imeshindwa kusimamia vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
African Barrick Gold, the London-listed miner, saw its shares hit by fears the Tanzanian government is angling for higher royalties, even as the company reported record profits. Everyone wants...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 19 October 2011 RAIS Jakaya Kikwete amebakiwa na njia mbili tu kulinda nafasi yake katika Chama cha Mapinduzi (CCM). Ama aachane na mpango wake wa kufukuza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa huu mfumo wa Serikali yetu kuwapa Wageni kumiliki ardhi nadhani tunaitafuta Zimbabwe mpya kwani kuna siku wananchi sanasana wanafunzi wanaomaliza vyuo na kukosa kazi watakuja kuwatimu hao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
.......wakati Kamati Kuu ilipomwomba Rostamu kusaidia kampeni za Igunga ili CCM ishinde, NAPE alipigwa marufuku asikanyage Igunga, asijihusishe kwenye shughuli za kumnadi mgombea wa ubunge kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ishu ya katiba na rasilimali. Kuna Dr. Mvungi, mtu wa magamba, mtu wa Kafu, mtu wa TLP. Hakuna Chadema. Sijajua kama CDM walialikwa wakasusa. Live kutoka ITV.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF. ITV kuna mada ya Katiba, matumuzi ya rasilimali katika katiba? Je yanakidhi haja?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…