Njia ya KISAYANSI kujua Kiongozi BORA ZAIDI TANZANIA (Mahesabu tu!)

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Ok,
1. Chagua number kati ya 1 - 9.
2. Multiply by 3.
3. Add 3.
4. Multiply by 3 again.
5. Jibu utakalopata jumlisha namba zake (mfano 43 = 4 + 3).
Halafu angalia jibu lako kwenye listi hii:
1. Zitto Kabwe
2. Khalfan Kikwete
3. Wilbroad Slaa
4. Halima Mdee
5. Augustino Mrema
6. Benard Membe
7. John Magufuli
8. Shukuru Kawambwa
9. Jakaya Kikwete
10. Anna Makinda
12. Anna Tibaijuka.

**Ni mtazamo tu**
 
Hawa watu kwenye hii listi, umetumia kigezo gani kuwapa namba uliyowapa?

Ok, usijibu nimeshakijua kigezo chako. Hovyo!
 
Ok,
1. Chagua number kati ya 1 - 9.
2. Multiply by 3.
3. Add 3.
4. Multiply by 3 again.
5. Jibu utakalopata jumlisha namba zake (mfano 43 = 4 + 3).
Halafu angalia jibu lako kwenye listi hii:
1. Zitto Kabwe
2. Khalfan Kikwete
3. Wilbroad Slaa
4. Halima Mdee
5. Augustino Mrema
6. Benard Membe
7. John Magufuli
8. Shukuru Kawambwa
9. Jakaya Kikwete
10. Anna Makinda
12. Anna Tibaijuka.

**Ni mtazamo tu**
Gamba tu wewe huna jipya
hesabu yako hii hapa km namba iliyochaguliwa ni x then this is (3x+3)3 ambayo ni 9(x+1) yaani ni multiple of 9, kwa hiyo kwa namba yoyote itakayochaguliwa jibu la mwisho litakuwa 9. Kawadanganye magamba wenzio
 
Ok,
1. Chagua number kati ya 1 - 9.
2. Multiply by 3.
3. Add 3.
4. Multiply by 3 again.
5. Jibu utakalopata jumlisha namba zake (mfano 43 = 4 + 3).
Halafu angalia jibu lako kwenye listi hii:
1. Zitto Kabwe
2. Khalfan Kikwete
...

**Ni mtazamo tu**

Hivi huyu ndio monita au monitresi wa darasa la sita B?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom