CHADEMA Isimani wachangia shilingi 250,000

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,300
33,919
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Isimani wamefanikiwa kuchangisha "thumuni thumuni" kutoka kwa wanachama wao wa vijijini na kufanikiwa kupata Shilingi 250,000 kwa ajili ya kufanya operesheni maalum ya kujenga chama kwenye Jimbo hilo. Kama kuna mtu yeyote anayetaka kusaidia kwa kiwango chochote kile cha fedha, vifaa, au ushiriki wa moja kwa moja kwenye operesheni hiyo ya kujenga chama kwenye Jimbo la Isimani awasiliane na Katibu wa CHADEMA wilaya ya Iringa Vijijini. kwa Simu Namba. 0753924183.
 
Wazo la kiharakati sana hili...chama ni watu na watu ni chama,tuchangechange jamani 2015 tunatakiwa kukabidhiwa nchi na kuunda serikali

CDM Obligado!!
 
Back
Top Bottom