Ni nchi gani inayoitwa tanzania bara ???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nchi gani inayoitwa tanzania bara ????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbosia, Oct 24, 2011.

 1. m

  mbosia Senior Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikisikia,nikiona na kusoma ktk vyombo mbali x 2 vya habari vile vya UMMA na vya binafsi wanasema tunasherehekea/kuadhimisha MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ninavyofahamu TANGANYIKA ndiyo iliyopata uhuru 9 desemba 1961 na baadaye maka 1964 ikaungana na ZANZIBAR kwa pamoja zikaunda TANZANIA . sasa hiyo tz bara inayotimiza miaka hamsini ya uhuru wake. wakuu wana JF nisaidieni kunijuza
   
Loading...