Uharibifu katika mnara wa kumbkumbu ya mwl Nyerere mjini Dodoma.

Rwebangira

Member
Aug 25, 2011
21
5
Katika hali ya kusikitisha mnara wa kumbukumbu ya Baba wa taifa Mwl Nyerere ulioko katikati ya mji wa Dodoma makao makuu ya nchi umeanza kuharibiwa kwa kubandua vigae(tiles). Tukielekea kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tz ambao muasisi wake ni baba wa taifa wachache wameanza kuharibu mazingira yanayotunza kumbukumbu yake. Ndio kumuenzi huko?

IMG_1253.JPG
 
View attachment 39797

Umewapa taarifa mamlaka husika au umekimbilia hapa tu bila kupeleka malalamiko mahala husika .Hapa tuta jadili tu then what na huku tils zinaondoka ?
 
Back
Top Bottom