Mmang'ati
Senior Member
- Jan 8, 2011
- 184
- 49
Ama kwa hakika kama ukiwa nje ya nchi ukasimuliwa yanayojiri tz utam-rate msimuliaji kama muongo wa karne ila ukishuhudia mwenyewe unaweza kuota mvi ukiwa 'teenager'.
Niko kwa kisofa changu naangalia taarifa ya habari mh naibu waziri anazindua mtambo wa aggreko kwa mbwembwe then kaimu mkurugenzi tanesco anasema hakutakuwa na mgao tena mpaka januari ghafla wamekata umeme......
Au dk 45 pale itv nini?aagh! sina hamu na siasa