Wewe kama kijana, umefanya jitihada gani kulikomboa taifa lako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe kama kijana, umefanya jitihada gani kulikomboa taifa lako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Oct 24, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Miaka 50 iliyopita vijana km kina J.K. NYERERE, R.M. KAWAWA, K.N. MWIRU nawengine wengi walifanya jitihada za madhubuti bila woga kuhajikikisha wanaikomboa nchi hii tk kwa wakoloni.

  KIJANA WA SASA MWAKA 2011 NDIO UNAISHIA, WW KIJANA 2011 UMEFANYA NINI KUIKOMBOA TANZANIA TOKA KWA WANA MAGAMBA AMBAO KAZI YAO KUBWA NI KUTUMIA RASILIMALI ZA WATZ KUJINUFAISHA WAO NA FAMILIA ZAO, HUKU WAKIUA RAIA KILA KUKICHA??

  Wewe kijana unayejiita Taifa la leo umelitendea nini taifa lako?
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aaagh! nilijiandikisha kupiga kura nikatunza kitambulisho changu cha kupigia kura lkn siku ya uchaguzi kura zikachakachuliwa tulipoaandamana kudai haki itendeke tukapigwa mabomu,risasi za moto, maji kuwasha na virungu vya polisi! hamu tena sina bora kufa tu.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Haaa, NIpo JF since 2007, Nalilia MAGEUZI.
   
 4. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nimejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura......nasubiria 2015....
   
 5. m

  mtz flani Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa kwa nchi yetu ni kuwa na vijana wengi mabomu kama wewe ambaye unafanya kampeni kuwadangana wenzio kuwa umasikini wako unatokana na magamba wakati tunaona wasomi vilalamishi kama mwanamke kitandani.

  Nchi gani wote tumekuwa waigizaji, Kikwete analalamika, watendaji wake wanalalamika, wazee wanalalamika na vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa (kama wewe na mimi) tunalalamika.

  Enough brothers & sisters, tuanzishe sasa movement ya kushinikiza mabadiliko na sio ushabiki wa vyama vya siasa....
   
 6. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutalikomboaje Taifa wakati Kikwete anaendeleza wizi wa KURA na polisi wanaendelea kuua RAIA wasiokuwa na hatia.
   
 7. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Ninahamasisha vijana wenzangu kwa ajili ya OCCUPY MNAZI MMOJA. Tarehe ya kuanza itatangazwa wakati wo wote kuanzia sasa. Hatutandoka Mnazi Mmoja mpaka kieleweke. Madai: (1) watuhumiwa wote wa EPA, MEREMETA, TANGOLD, KIWIRA, RICHMOND/DOWANS/SYMBION na STIMULUS PACKAGE wafikishwe mahakamani. (2)Mchakato wa KATIBA Mpya uanze mara moja.
   
 8. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Dah! Mbona tumeishaitana mara kibao na mara zote hizo mwitkio wa umekuwa hasi...
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  WE UMEFANYA JITIHADA GANI KUSHINIKIZA hayo MABADILIKO?
   
 10. m

  mtz flani Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka we acha tu...hilo swali gumu sana, ndo maana nimesema wote tumegeuka walalamikaji....kazi tunayofanya ni kulaumiana tu hakuna jipya.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa hy unakiri hakuna ulichofanya ww km kijana?
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hatuitaji Nyerere milioni moja au elfu kumi..
  Hatuitaji kina Gandhi kama kumi...

  Kinachohitajika ni leadership hata ya watu wachache au mtu mmoja (ili ku-galvanize nguvu ya watu wote..)
  Kinachohitajika ni vision na plan ya kujua tupo wapi na wapi tunataka kwenda...
  Haiwezekani kila mtu afanye kivyake na kwenda kivyake inakuwa chaos..

  Kwahiyo wa kulaumu if anyone ni vyama vya upinzani inabidi viunganisha nguvu ya watu wote na kuwaonyesha kwamba there is a better way..!!
  Mpaka sasa siwezi kuwalaumu vijana ambao wengi hawajui haki zao, wanasumbuka asubuhi mpaka jioni kutafuta mkate, na mwisho wa siku wanapigwa jua kwa kusikiliza ngojera za watu..., kwahiyo hao so called wana-Siasa na wanaharakati ndio wanawa-let down hawa vijana..

  Hata kama wanafanya vitu, kama bado shida zipo basi wanalofanya its not good enough
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Waombe msaada wa NATO?
   
 14. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nilipokuwa nasoma Saut katika uchaguzi mkuu nilisimamia kura za mh highnes kiwia mbunge wa ilemela kama wakala wake pasipo ujila wowote dhumuni ni kutaka jimbo liondoke lakini mungu akasaidia na sasa jamaa ni mbunge na mageuzi yakatokea katika jiji la mwanza zima.
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kunywa kwangu bia ina maana natoa kodi ya kujengea miundo mbinu na kuwalipa mawaziri wote mafisadi.mia
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mimi napoona mtu ameleta thread km hii nakuwa nahamu kuchangia mawazo yangu lakini wapo watu ambao kazi yao ni kulaum wenzao na kama hawajamtaja kikwete wanapandwa na homa ya malaria,acheni izo tutoe michango yakujenga nchi yetu.............any way,,,,,mimi km kijana nimefanya mengi sana,,,kwanza,nimekuwa ticha nikafundisha na kutoa product cream sana ambayo ivi sasa wengine wapo vyuo vikuu.pili nalipa kodi tatu nina familia ya watu watano wanaonitegemea na ninasomesha vijana watatu sekondari ambao walifaulu wakakosa ufadhili....
   
 17. L

  Luiz JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vijana wa misri,Tunusia & libya wangekuwa wanaogopa polisi na vitisho vya viongozi wao wacngejikomboa hii leo uckate tamaa kijana.
   
 18. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mimi nimejiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na nilipiga kura 2010.
  Mke wangu limushawishi awapigie mageuzi kura na akawapigia.
  Mama yangu alikuwa mkereketwa wa CCM nilimbadilisaha na sasa hivi kwa lugha
  ya kijijini anasema kwamba wale wanaovaa magwanda wanasema ukweli kuliko wanaovaa
  kijani na njano.
  Nimeanzisha movement ya kuwahamasisha vijana wote 18-40 yrs kwamba wajiandae kujiandikisha
  kwenye daftari la wapiga kura na waitumie haki yao ya kupiga kura 2015 kuchagua viongozi
  bora na sio bora viongozi.
  Jimbo langu la kata yangu tunaongozwa na mbunge na diwani kutoka mageuzi. baada ya kufanya
  kampeni kubwa 2010. Hayo ndiyo nimeweza kufanya kwa nafasi yangu.
   
 19. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hiyo movement ni nzuri lakini kwa hapo dar haitawezekana waswahili waoga sana! arusha au mwanza au mbeya au moshi ndiyo ingekuwa dar aaagh utawala chamoto ungeona.
   
 20. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Nice move! tuige jamani
   
Loading...