Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiwalanikwagude, Oct 22, 2011.

 1. k

  kiwalanikwagude Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

  Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

  Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

  KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE
   
 2. k

  kuzou JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asikanyage nyie kwenu huko
   
 3. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni kweli haya usemayo. Sasa tunataka kweli mzomee, mzomee yasiwe maneno matupu. Hata urais haupati ng'o
   
 4. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nyinyi si vibaraka wa Marekani tu, si ajabu hata Tanzania huijui. Hao Marekani na NATO wanakudanganya. Ni wauaji, wananyemelea maliasili ya frican resources for Africa. He was sentensed by your Ameracans and NATO because of his just African course.

  As for Membe hiyo statement aliyoitoa inawakisha mawazo ya Watanzania minus wapuuzi nyie na wenzako. Kwani kama ni udikteta huo unaofanywa na Marekani na NATO kuutiisha ulimwengu kwa maslahi yao utauitaje.

  UMENISIKITISHA KUPINDUKIA KAMA MPO NA WENZIO FIENI HUKO HUKO KWANI HAMANA HATA CHEMBE MOJA YA UAFIRIKAn ACHA UTANZANIA.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Rep Power : 0
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yale yale ya Member Mwingereza, na maandamano ya Marekani...

  Mtoto wa mtumwa ni mtumwa tu..
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  tumewazoea manataka hela tena, mlisema ya kikwete akija huku mtafanya sijui blabla mkaishia kusema mmepewa chapaa
   
 8. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mnasemaga tu kila siku, tuondolee upuuzi wako hapa!
   
 9. k

  kalanjadd Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie ni vikaragosi wa marekani Membe atakuja huko na hakuna lolote mtakalofanya mnadhihirisha ni punda wa dobi,waafrika hatutaendele kukubali ukoloni mambo leo, hao NATO ni majambazi wakubwa wanachochea vurugu Afrika ili wapore utajiri wetu nawakemea kwa jina la kristo nyie pamoja na mabwana zenu NATO mtaishia jehenamu.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  unadhani ukisemea jf ndo tutawaona wa maana mana mlijidai mkuu wa kaya akija huko mtafanya maandamano,hebu kaeni kimya tu
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi mliandamana alipokuja JK au mlitupotezea tu?
   
 12. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Yaani mko ng'ambo badala ya kujadili na kupanga mikakati ya kuja kuliokoa taifa kwa taaluma na mitaji mwapanga kumzomea membe tena basi si kwa vitendo ila maneno 2 hapa jf kama mlivyoahidi kumzomea kaka'ake mende last few weeks ago..., Amin nawaambia mtaporudi mtatukuta na Phd za kuruka fence,kukata vioo,bisbisi na fani nyengine mpaka mtuzoee tutakuwa tumewapunguza vitambi.
   
 13. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mod futa takataka za huyu mpuuzi, nilitegea ungekuwa m2 wa kwanza kulaani kitendo cha Marekani na NATO kumuua Gaddaf...eti unaunga mkono, shame at U! Ukiambiwa ueleze udikiteta wa Gaddaf unaweza kueleza au ndiyo propaganda za vyombo vya magharibi na wewe una2letea hapa. Hata kama angekuwa dikiteta bado hawana haki ya kumu ua,sasa watu kama wewe mtakufa mnajua alikuwa dikiteta,sababu hamtapata kusikia akijitetea...siku zote amini unachokijua siyo maneno ya wa Marekani....leo ilikuwa Libya utaona kesho Uganda kisa kuna Mafuta.. Kuanzia leo tambua Marekani wanapose "IN GOD WE TRUST" wanamaanisha "IN GOLD,OIL and DIMOND we Trust" .
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  naona mnataka mpewe pesa tena ...wajinga ndio waliwao ..chumeni shamba la bibi hili wazee
   
 15. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umetumwa kuja kupima upepo nini? Jitahidi mtapata dollars nyingine.
   
 16. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ingawa sikubaliani na maneno ameongea Membe lakini hawa watanzania wenzetu wanaoishi nje na hasa huko USA ni wababaishaji tu! Hawana lolote hawa.
   
 17. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwingereza habari?
  Sio washnton dc tena?
  Bado haujasema.
   
 18. T

  Taso JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Si bora wangempotezea, walilipa dola mia mbili mia mbili kwa kichwa kwenda kumpigia makofi kwenye kihoteli kilichosheheni mtu.

  Kufika kwenye hoteli, listen to this, Kikwete akakuta wamemuandalia nyimbo za mashairi za kumsifu. Cheki video uone watu wazima wanavyomuimbia ngonjera!

  Unajua wana home sickness, they have to have the impulse to throw waves and confetti to anything showing up from home, wako uhamishoni wamesha jidatia, lazima u sympathize nao.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nyambafu kwenda huko marekani ndo mmeukana uafrika wetu, mjitambulise uo umoja wenu huko marekani namkirudi tutawapokea kwa kuwazomea na mawe juu sisi huku watanzania wachini sote tunasikitika tukiilaumu marekani na nato. Wakiona nchi inastawi na inasera ya umoja kama gadafi hawakawii kutia mguu. Mbona hawati mguu yemen, na syria. Huko hakuna maslahi na niwatu wasio na mawazo ya kuunganisha nguvu. Lakini gadafi alikuwa na mawazo ya kizalendo ya kweli hakuna kiongozi kama gadafi duniani kote hili marekani na ulaya hawakupenda uwezo wa gadafi wakaamua kuwatumia wa le maadui zake sasa angalia idadi inayoshangilia kifo cha gadafi huko libwa kama sifamilia za wanamigambo na waliomchukia sikuzote.
   
 20. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebu tuondolee shibe ya vyakula vibovu hapa nyinyi na marekani ni wajinga wa kutupwa na mzomee muone kwani hamna haya mnasema nini nyie vibaraka mnafikiri sote tunaimba bongo flava na kufanya kazi za kuosha mitaro kisa pesa nyie mateja tu hamna issue yoyote kwanza nani atawaruhusu kukanyaga uwanja wa ndege mnafikiri membe anakuja kuuza unga huko ili mkutane mtaani mmuzomee
   
Loading...