Vipi utawala wa JK? Wabunge 14 watinga mahakamani katika miezi 11!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wanajamvi:
Inakuwaje hii, kwamba katika kipindi hiki cha pili cha utawala wa JK, jumla ya Wabunge (Watunga Sheria) 14 walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbali mbali katika vipindi tofauti. Wabunge hao ni kutoka vyama vitatu tofauti, kikiwamo chama tawala - kama nilivyoorodhesha hapo chini. Orodha inaweza kurekebishwa iwapo nitakuwa nimekosea.

Jamani hii ni rekodi, na inatuambia nini kuhusu utawala huu, na hasa kutokana idadi kubwa ya Wabunge kufikishwa mahakamani katika kipindi hiki cha miezi 11 tu ya utawala wa kipindi cha pili cha JK?

Tujadili.

CDM:
1. Godbless Lema
2. Freeman Mbowe
3. Philemon Ndesamburo
4. Joseph Mbilinyi
5. Sylvester Kasulumbayi
6. Ms Suzan Kiwanga
7. Joseph Roman Selasini
8. Zitto Kabwe
9. Tundu Lissu
10. Ms Esta Matiko

CCM:
11. Dickson Kilufi
12. Hamisi Kigangwala

CUF
13. Ms Elizabeth Sakaya
 
Wanajamvi:
Inakuwaje hii, kwamba katika kipindi hiki cha pili cha utawala wa JK, jumla ya Wabunge (Watunga Sheria) 15 walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbali mbali katika vipindi tofauti. Wabunge hao ni kutoka vyama vitatu tofauti, kikiwamo chama tawala - kama nilivyoorodhesha hapo chini. Orodha inaweza kurekebishwa iwapo nitakuwa nimekosea.

Jamani hii ni rekodi, na inatuambia nini kuhusu utawala huu, na hasa kutokana idadi kubwa ya Wabunge kufikishwa mahakamani katika kipindi hiki cha miezi 11 tu ya utawala wa kipindi cha pili cha JK?

Tujadili.

CDM:

1. Godbless Lema
2. Freeman Mbowe
3. Philemon Ndesamburo

4. Joseph Mbilinyi
5. Sylvester Kasulumbayi
6. Ms Suzan Kiwanga
7. Wilbroad Peter Slaa
8. Joseph Roman Selasini

9. Zitto Kabwe
10. Tundu Lissu
11. Ms Esta Matiko

CCM:

13. Dickson Kilufi

14. Hamisi Kigangwala

CUF

16. Ms Elizabeth Sakaya

Dr Slaa ni mbunge tangia lini?
 
Kama mtunga sheria anafikishwa mbele ya vyombo vya sheria lazima kuna matatizo ya tafsiri sisisi ya sheria. Au kuna zaidi ya kufuata utawala bora wa sheria na badala yake kuna kutenda mabo kika - karagosi au kuendeshwa ki remote.
 
Yaani ukichukuwa average ni zaidi ya Mbunge mmoja kila mwezi hutinga mahakamani. Kwa rate hii, JK akimaliza muda wake jumla ya Wabunge 60 watakuwa wamefikishwa mahakamani.
 
Wanajamvi:
Inakuwaje hii, kwamba katika kipindi hiki cha pili cha utawala wa JK, jumla ya Wabunge (Watunga Sheria) 14 walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbali mbali katika vipindi tofauti. Wabunge hao ni kutoka vyama vitatu tofauti, kikiwamo chama tawala - kama nilivyoorodhesha hapo chini. Orodha inaweza kurekebishwa iwapo nitakuwa nimekosea.

Jamani hii ni rekodi, na inatuambia nini kuhusu utawala huu, na hasa kutokana idadi kubwa ya Wabunge kufikishwa mahakamani katika kipindi hiki cha miezi 11 tu ya utawala wa kipindi cha pili cha JK?

Tujadili.

CDM:
1. Godbless Lema
2. Freeman Mbowe
3. Philemon Ndesamburo
4. Joseph Mbilinyi
5. Sylvester Kasulumbayi
6. Ms Suzan Kiwanga
7. Joseph Roman Selasini
8. Zitto Kabwe
9. Tundu Lissu
10. Ms Esta Matiko

CCM:
11. Dickson Kilufi
12. Hamisi Kigangwala

CUF
13. Ms Elizabeth Sakaya

Huyu ningefurahi angenyongwa maana kiropo ropo kweli
 
Huyu Kingwarangwara Anatafuta Kusafisha Jina kwa ajili ya 2015 Tu Huyu Hana Lolote!! Ila wa Mbarali ni Jembe Kidogo!!
 
Hatuna tabia ya kunyonga, japokuwa CCM wanajitahidi kuongeza kazi ya kuua wanachama wa CDM kama Mbu vile.
 
Mh Dr Titus Mlengeya Dismas Kamani Mbunge wa Busega kwa kumtishia Maisha aliyekuwa Mgombea mwenzake na Mbunge wa zamani Dr. Raphael Chegeni.
.
 
Ooops! hakuna aliye juu ya sheria wala si udikteta wa JK kwa hili wala msimuonee, kwani ye anahusika vipi na kukamatwa kwao. Ukiona mtu anafikishwa mahakamani basi jua kuna uvunjifu wa sheria umefanyika so kama hawa waheshimiwa wanavunja sheria wafanyweje? akiwachekea mnasema anacheka , akiacha sheria ichukue mkondo wake dikteta, sasa afanye lipi ingalau aonekane ametimiza wajibu. Mimi sio fan wa JK lakini kwa hili Oooooops tufikiri kidogo!
 
Sawa, lakini kwa nini iwe tu kwa hawa dagaa wanaodaiwa kufanya vurugu kumbe ni wadai haki, na isiwe pia kwa wala rushwa, wezi wa mali ya umma etc?

Wangapi wa EPA na hasa Kagoda yake ambao bado kutinga mahakamani -- plus Meremeta, Deep Green, Afritainer nk nk? Jk angepata sifa sana kama angewaburuza wote hao mahakamani na siyo hawa watunga sheria wanaotetea wananchi.
 
wanajamvi:
Inakuwaje hii, kwamba katika kipindi hiki cha pili cha utawala wa jk, jumla ya wabunge (watunga sheria) 14 walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbali mbali katika vipindi tofauti. Wabunge hao ni kutoka vyama vitatu tofauti, kikiwamo chama tawala - kama nilivyoorodhesha hapo chini. Orodha inaweza kurekebishwa iwapo nitakuwa nimekosea.

Jamani hii ni rekodi, na inatuambia nini kuhusu utawala huu, na hasa kutokana idadi kubwa ya wabunge kufikishwa mahakamani katika kipindi hiki cha miezi 11 tu ya utawala wa kipindi cha pili cha jk?

Tujadili.

Cdm:
1. Godbless lema
2. Freeman mbowe
3. Philemon ndesamburo
4. Joseph mbilinyi
5. Sylvester kasulumbayi
6. Ms suzan kiwanga
7. Joseph roman selasini
8. Zitto kabwe
9. Tundu lissu
10. Ms esta matiko

ccm:
11. Dickson kilufi
12. Hamisi kigangwala

cuf
13. Ms elizabeth sakaya

jk hana kosa hapo police na mahakama wapo kazini kwani wanakula kodi zetu
 
Kama ilivyo katika upstairs ya huyu mkuu wa kaya, priorities zake pia zimekaa upside down. It's sad, really sad to have such a president for the next four years. What a waste in Tanzania history!!!
 
jk hana kosa hapo police na mahakama wapo kazini kwani wanakula kodi zetu

Jk analo kosa X 1,000! Rejea Wikileaks ilivyomquote Hosea kuhusu kutowapeleka baadhi ya mafisadi wakuu mahakamani.Jamani Watz -- hivi kweli tunaweza kuikomboa nchi hii kwa kauli za kijinga kama hizi?
 
Ooops! hakuna aliye juu ya sheria wala si udikteta wa JK kwa hili wala msimuonee, kwani ye anahusika vipi na kukamatwa kwao. Ukiona mtu anafikishwa mahakamani basi jua kuna uvunjifu wa sheria umefanyika so kama hawa waheshimiwa wanavunja sheria wafanyweje? akiwachekea mnasema anacheka , akiacha sheria ichukue mkondo wake dikteta, sasa afanye lipi ingalau aonekane ametimiza wajibu. Mimi sio fan wa JK lakini kwa hili Oooooops tufikiri kidogo!

Hopeless, wezi wa fedha zetu au waliosaini mikataba mibovu wengi wao hawajafikishwa mahakamani! mbona anawachekea au kwa kuwa yeye ndiyo huwatuma? hawa waheshimiwa hasa wa cdm kesi zao nyingi ni za kutungatunga tena zinazokandamiza democrasia tu!! hulioni hili unadiriki kuandika post kama hiyo hapo kwa kuuweka ukweli chini ya masaburi yako???
 
Back
Top Bottom