Kikao cha wazee wa CCM, Okt 29, 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha wazee wa CCM, Okt 29, 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Oct 29, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Tunaomba mtujuze hicho kikao cha wazee wamejadiri nini.
  Malechela alikuwepo
  Warioba alikuwepo
  Kingunge alikuwepo
  Msuya alikuwepo
  N.k Alikuwepo.
   
 2. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We unauliza au unatujuza kuwa kulikuwa na kikao cha wazee.Mbona haieleweki. Nakadhalika alikuwepo ndiyo nini ?? kama umeamua kusema sema vitu vya kueleweka. Muda mali.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Magwanda wana matatizo kweli. We toa full info.
   
 4. O

  Othman Kh Rajab Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bro mbona wam'zodoa m'dada kiivyo! Ni kwl ht mie nimeiona hiyo minor error! Ni km vl mgeni rasmi kaingia alipo'alikwa then awe kageuza viatu left kavaa rite! Logic unamnong'oneza! Usim'tahayarishe!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  pengine wanajadili namna ya kumaliziana magamba watakapoenda dodoma mwezi ujao
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Woote hamna kitu wala staki poteza muda wangu kufikiri walijadili nini. Wameshauza nchi yangu na sina cha kujivunia ktk u tz wangu
   
 7. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kina nani hamna kitu?
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  inaonyesha umekurupuka.ni nini hujaelewa hapo juu'
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hebu ona CCM na CDM tofauti ni herufi ya kati tena D, Magamba na Magwanda sasa sijui utakubalu lipi mtu akuite wewe magamba au wewe magwanda?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kukuelewa ni kazi sana mkuu sijui unatumia Lugha gapi vile?
   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tuache unafiki jana Kulikuwa na kikao cha wazee waliowah kuwa viongoz zaman,Nimeomba kwa waliokaribu na Mazungumzo hayo watujuze,naona watu wanalopoka tu,kama huna newz kaa kimya.
   
 12. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanini wewe usingeanza kukaa kimya toka mwanzo kama unajijua fika wewe ni kilaza? Au ndo wewe zubeda ulieimbwa na prof j kwamba umetoka bush kuja mjini ukaweka viatu kwenye friji ukijua ni kabati? Nahisi utakua ni wewe
   
 13. O

  Othman Kh Rajab Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abt 85% phone's holders had a widely vision in several langueges being used around cities, your low acknowledge or visionless surely being created yourself! If length of your age existence allow pl's back to school! We hv plenty of adults insitutes! That may lead u to avoid some unessential quiz.
   
 14. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  What exactly are u trying to say? Is this supposed to be English languge or something else we havnt heard before?
   
 15. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama hujui kitu si vibaya ukaziba mdomo wako.
   
Loading...