CUF kutoka chama cha upinzani mpaka chama tawala 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF kutoka chama cha upinzani mpaka chama tawala 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calipso, Oct 29, 2011.

 1. C

  Calipso JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya harakati nyingi za siasa za muda mrefu kwa upande wa znz pamoja na mateso waliyopata viongozi wa Cuf na wanachama wake na wapenzi wake kutoka kwa serikali ya kidikteta ya CCM,sasa inaonekana kama kwamba historia mpya ya znz ikifika mwaka 2015 itaandikwa.

  Kama Wiki mbili zilopita,ilikuwa siku ya jumapili,nilibahatika kuwaona baadhi ya viongozi wa Cuf znz wakienda ktk sehemu inayoitwa mkwajuni,nikabahatika kuongea na mtu mmoja ktk ule msafara ambae nafahamiana nae,ktk kumuuliza baadhi ya masuala...

  Aliniambia Jimbo la mkwajuni Cuf wameshinda kwa kura nyingi lkn kama kawaida yao CCM wamefanya ufisadi wao, ( Note : jimbo la mkwajuni ilikuwa ni ngome kubwa ya ccm hasa ktk utawala wa Salmin ) kwa hiyo wanakwenda kuongea na wananchi pamoja na kufanya mikutano ya ndani na viongozi pamoja na wazee wa mkwajuni. Lengo nikuanza mikakati mipya kuanzia sasa na hakuna kulala mpaka mwaka huo 2015. akaniambia kwa sababu tayari njia ya kuchukua nchi ipo wazi,anasema kitendo cha sisi kuingia tu ktk serikali basi ni hatua kubwa ambayo itatufanya kuhakikisha mambo yote yanakuwa sawa na kuweza kuchukua nchi.


  Anasema unaweza ukaona baadhi ya watu wanakupuuza kwa kuingia ktk serikali na kukubali ushindi wetu kuporwa lkn hawajui nini madhumuni yetu hasa,na hasa kwa upande wa znz tukisema kidogo majeshi kutoka bara ni mengi kuliko wananchi yanaletwa,sasa hii ni njia nyepesi ya kuchukua nchi na ndio maana unatuona hapa tunaanza harakati zetu kuanzia hivi sasa na hatulali tena kwa hivi sasa mpaka 2015 kwani tayari njia tushaiona.

  My take.
  Kwa kweli tokea uchaguzi uwishe naona kama Cuf wameamka znz kuliko hata miaka ya nyuma,kwani naona wanafungua matawi maeneo mengi pamoja na viongozi wao kufanya mikutano ktk maeneo mengi ya vijijini,tofauti kabisa na CCM ambayo inaoenekana wazi imekufa na inakufa kwa zaidi ya kasi ya miaka ya nyuma. CUF kama wamepata pumzi mpya kabisa kwa matumaini makubwa ya kuchukua nchi 2015 na wanawapiga bao CCM ktk maeneo mengi hivi sasa lkn wawaangalie sana CCM kwani waswahili wanasema kimya kingi,utamaliza mwenyewe.

  Na kubwa hivi sasa naona namba za nyumba zinabadilishwa,nalo hilo linanitia hofu unamuona mwenzako kimya kumbe anaandaa mbinu za kisayansi. Liangaliwe.

  Changia kama mwenye akili isiwe kinyume chake
   
 2. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kila la heri kwa znz,
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  vp kuhusiana na huku Tanganyika!
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku bara kwakweli CUF ni wajinga sana, wao wanafanyakazi ya kuwakomoa CDM!
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kumbe unaongelea Zanzibar!huko inawezekana!huku bara thubutu!Taratibu imeshaanza futika vichwan mwa watu kuwa kuna chama kinaitwa CUF!
   
 6. t

  thesolomon Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli ni kwamba cuf znz inashinda tangu mwaka wa kwanza wa uchaguzi 1995 ingawa hawapewi madaraka na wabunge pia wanashinda majimbo mengi lakini yanachakachuliwa kwa upande wa unguja sasa sijui wamejipangaje siku za mbele
   
 7. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Cuf watachukua nchi gani? Tanganyika au zanzibar?
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Msome vizuri jamaa kasema ni Zanzibar.
   
 9. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,496
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  hivi CUF bado ipo.?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nakubali kabisa CCM wanapoteza Z'bar kama hawajishughulishi na kutafuta wanachama wapya na kama wana dhana ileile ya S.L.P basi chama changu kwa heri

  Niwakumbushe kuwa SUK ni ya muda tu siyo ya kudumu na ina mashart

  eti hata kama chama kina 3% kitakuwa kwenye serikali hakuna kitu kama hicho they have to strive p/se
   
Loading...