Tutafute undani wa vyama hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafute undani wa vyama hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Oct 30, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tunafute undani wa vyama hivi, kila chama katika nchi kiliko maana hivi ni vyama rafiki sana na CDM tusije tukajikuta tunaangamia:
  1. Conservative-Uk
  2. The center Party-Sweeden
  3. Kokomus-Finland
  4. NPP-Ghana
  5. DP-kenya na
  6.kile cha Ujerumani


  Aidha ningependa kujua International Democrat Union ni nani, yuko wapi na anafanya nini
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua mimi hivi ni vyama vyenye kuamini kuwa suluhu ya matatizo katika nchi ni maandamano ambayo mwisho wake huwa ni umwagaji damu. Wanavaa magwanda hata wanapokuwa katika ofisi zao, muda wote. Sijui wanamaanisha nini.
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  hata tunaodai ni watu wazima kiakili hata wao ni wendawazimu. Tofauti pekee kati ya tunaodai ni wazima na wale wenye wazimu kwa asili tunaowaona wanatembea uchi barabarani ni kwamba sisi tunaojiona wazima huwa tunaamua ni wakati gani tuuonyeshe wazimu wetu. Ktk hili mkuu amejidhihirisha ana wazimu!
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  je unakatiba za vyama hivyo , tafuta na angalia katiba na sera zao kisha uje jukwaani tukupe nini maana ya jumuia ya vyama duniani
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ninachojua kuhusu hiyo namba tano ni kwamba ni chama cha kikabila na kinachoamini kwamba watu wa kabila fulani ndiyo wenye haki na rasilimali za nchi na nafasi za uongozi wa kiserikali.
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa mara nyingine malaria sugu anaikimbia id yake lakini utumbo ni uleule.
  halafu ukifuatlia kwa makini huyu jamaa ana id kama mia hivi.
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo kazi tunayo kuhusu hiki chama cha Chadema? Asante kwa kutufungua macho,je? Hicho chama cha Ujerumani kikoje. Nalog off
   
Loading...