The President is A National Pride! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The President is A National Pride!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Oct 28, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais wetu anapofedheheshwa nje ya mipaka yetu. Ni lazima tusimame pamoja kumlinda bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kielimu. Hata kama ni mbovu bado haitoi haki kwa mtu yeyote nje ya mipaka kumdhalilisha ilhali tukiangalia bila kuchukua hatua.
  NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!
   
 2. e

  emalau JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  amedhalilishwa na nani, weka mambo wazi, kama ameitwa fisadi pia twambie
   
 3. k

  kayumba JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Husomeki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Jilindde mwenyewe kwanza ,your Kids if you have one then Baba na Mama na kisha waliende viumbe vyote wa Mwenyezi Mungu alivyoviumba bila kubagua.
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Who cares about him? kwani yeye anatujali au anaijali nchi yetu? I don't care whatever they do to him, as longer my country is safe. Who is Kikwete here in Tanzania? Mimi namuona kama ni Mwizi wa rasilimali zetu na mkukwapuaji wa Kodi zetu. Mwaache azalilishe kwani tayari ameshalidhalilisha Taifa letu na Watanzania wote kwa maneno yake ya kipuuzi. Kwa sisi mvua mpaka tumtetee?
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hata akipigwa vibao huko hatujali, tena asiporudi kabisa itakuwa furaha kwetu Watanzania.
   
 7. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  You are such a fool!!
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kuna tofauti ya kudhalilishwa na kujidhalilisha. Kama raisi amedhalilishwa tunaweza kumtetea ila kwa sasa mimi naona raisi wetu ana jidhalilisha siyo kudhalilishwa na mtu. Siwezi mtetea mtu anae jidhalilisha.
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Papa D, Much appreciation SiR!!

  What did you real wanted us to know out of what you posted?
  Is there any problem somewhere with our Prez? And what is?
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hi Good Guys ... Please reduce the reactions... cool down ... lets just be in all the control we can, because we can ..and we are in the point ... Ok .. So we continue..
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  And your my King of Fools
   
 12. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  sijui hii ni bhangi,utoto ama ulimbukeni wa kishamba.
   
 13. i411

  i411 JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wewe ni wakwanza kuropoka na zani niwakwanza pia kusukuma magari ya wale unaowakashifu.....
   
 14. F

  Fabulous Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  What exactly do you want to protect? An individual or the presidency? This is about what people feel about the person. Si kitu cha kupigia kampeni kama unavyofanya wewe.
   
 15. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,398
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  .....tatizo la nchi hii ni kwamba hatuna mfumo madhubuti wa kutupatia rais inteligent kama nchi za magharibi zinavyofanya, sisi imekuwa tu huyu ni mwenzetu, mpole, kijana, chaguo la Mungu ama unaweza vipi fitina ndani na nje ya chama chako,, huu ndio msingi wa tatizo, tunatoa marais wenye uwezo mdogo (sio wote) kufikiri na kupambanua mambo, wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu, hapa sikuachi bila mfano.....Mkuu wa kaya anaulizwa kuhusu matatizo ya umeme na maji Mtera anajibu "Ningekuwa mvua ningenyesha nijaze mabwawa"......watu wakichambua huwezi kusema amedhalilishwa hapa ila ni kinyume chake. Halafu sio lazima kupost unaweza ukabaki kusoma post za wenzio hoja za namna hii zisizokuwa na mashiko msituletee.
   
 16. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Sio lazima upost humu, unaweza hata kusoma post za wenzako, anyway labda raha yako ni kuona watu wanachangia post yako, haya tumeshachangia furahi sasa.
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  With Deeply appreciation ... and what did you say was the problem with the president which motivated this thread? ...the answer will lead to double appreciation Sir! Cause honestly I didn't get that!!
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  The answer to the first two questions ... are very important for they will enlighten the whole thread!!
   
 19. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Again.. see ... very basic and important question..!!
   
 20. d

  davestro Senior Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umedata errooo
   
Loading...