Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiona watu wanapenda pesa kuliko utaifa ujue taifa ndio lina angamia! Moyo wa utaifa umotoweka, hii changamoto kwa kiongozi yeyote makini na mzalendo, umoja wetu ndio nguvu yetu, tulitumikie...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NAOMBA MNISAIDIE WATU WANGU JE ;TANZANIA KUNA VIONGOZ WANGAP WALIO NA AKILI TIMAMU Nimefanya kucopy na kupaste tu.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
From ISSA YUSSUF in Zanzibar, 2nd November 2011 Daily News ZANZIBAR President Dr Ali Mohamed Shein marks one year in office on Thursday after he was sworn-in to lead the Government of National...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Ni jambo lililowazi kabisa kwamba serikali hii ya awamu ya nne sasa imepoteza mwelekeo kuliko serikali zilizopita,uchapa kazi wa Mh Lowassa alivyokuwa pm ndo uliofanya watu wengi kutoona udhaifu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mon, Oct 31st, 2011 Mon, Oct 31st, 2011...
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Diwani wa kata ya Makanyagio mjini mpanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Idd nziguye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na kosa la kukaidi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kamanda Nanyaro Ephata, Mwenyekiti wa BAVICHA Arusha Arusha imeingia doa kubwa mara baada ykuwepo kwa mgomo wa daladala ambao umedumu kwa masaa sita kutokana na kile kinachodaiwa kuwa Chadema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanataka kumpa Mh JM Kikwete tuzo la kuinua michezo nnchini, kwangu mimi hii ni kampeni, na TASWA inabidi iwe makini sana na huyu Pinto, kwa nini sasa wakati wa kampeni za uchaguzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari toka Radio 5 Arusha kaimu RPC Arusha Mpwapwa amesema hiyo ya afande Zuberi kuita wananchi panya ni uzushi yeye hana taarifa nawasilisha.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hata kama Lema ana matatizo yake lakini udharirishaji huu wa polisi kwa mbunge halali aliyechanguliwa na wananchi wengi si cha kiungwana. Naungana na Mh. Lema kokote aliko kupinga hali hii ya...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Sasa ni dhahiri, KIKWETE nchi imemshinda. Serikali yake imeshindwa kulipa watumishi stahili zao. Mishahara yashushwa, posho zapukutishwa na hakuna malipo kwa wafanyakazi wapya wanaoanza kazi...
3 Reactions
187 Replies
19K Views
Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni vigumu kumuamini mwana siasa yeyote Unajua, kwenye siasa unaweza kuwa msafi au mchafu sana tu, lakini kwa vyote pia vinaweza kugeuzwa na kuwa kinyume kabisa na ukaonekana tofauti kabisa, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nawakilisha taarifa kutoka ofisi ya Waziri mkuu. 02 Novemba, 2011 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAKURUGENZI 16...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF mbunge wa Mbeya mjini mr II yupo live mlimani tv kipindi keki ya taifa na Hamisi Dammbaya
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Nimekutana na Waraka unaohusu Uraia Ndumilakuwili, nikashindwa kuvumilia kuusoma peke yangu. "...Kwa hakika katika zama hizi Tanzania inakumbwa na matatizo mengi ya kijamii na kiuchumi ambayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii kama mnakumbuka kuna jamaa alisimangwa na kushitakiwa kwa kosa la KUSIGINA KATIBA. Jamaa huyu anaitwa nani na yuko wapi? Kulingana na katiba hii tuliyonayo na uelewa huu wa wananchi juu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kuna discussion inaendelea kwa Dira ya dunia idhaa ya kiswahili ya BBC juu ya ushoga. Nimependa comment za mwongoza mada “mbona mnaendeshwa kama watoto“ na comments toka kwa mchangia mada kuwa...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
A PRESS RELEASE FROM THE OFFICE OF PROPHET T.B. JOSHUA AFRICA – THE WAY FORWARD The General Overseer of The Synagogue, Church Of All Nations, Ikotun-Egbe, Lagos, Nigeria, Prophet T.B. Joshua has...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
WanaJF,inaeleweka wazi kwamba Mbunge,ni mwakilishi wa wananchi au kwa tafsiri ya kawaida sana ni sauti ya jimbo lake.Pia ameajiriwa na wananchi wake kwa kura alizopata.Tusiwahukumu kwa huu muda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…