Mlimani TV: Joseph Mbilinyi Mr II | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlimani TV: Joseph Mbilinyi Mr II

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by A-town, Oct 31, 2011.

 1. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wana JF mbunge wa Mbeya mjini mr II yupo live mlimani tv kipindi keki ya taifa na Hamisi Dammbaya
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Joseph Mblilinyi anaelezea kazi za wasanii Tanzania wanavyonyonjwa..
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Joseph Mblilinyi anaelezea kazi za wasanii Tanzania wanavyonyonjwa..

  Miaka 50 ya uhuru wasanii wana njaa tu
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anasema lazima RTD iwalipe wasanii wa zamani kwa kutumia kazi zao toka enzi za zilipendwa..
  RTD wameuza sana kazi za wasanii wa zamani
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  endelea kutupa updates kiongozi
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anasema katika bajeti zote serikali ilikubali bajeti yake kwa 99%..na ndio inaifanyia kazi
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anawachana Clouds anasema hawezi kuacha kuwasema sababu wao ndio wameleta umasikini kwa wasanii
   
 8. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujuze mkuu.
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Safi sana ruge ni mtoto sasa kwa sugu hauwezi moto wa sugu ndo mmemtapeli lakin hatakubali umewatapeli wasanii tena atapambana nao hao clouds mpaka kieleweke'
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anamchana Ruge anasema anatumia kujuana na kina Makamba Ikulu, anawagawa wasanii na yeye hatatumia nguvu zake kumzima
   
 11. F

  FredKavishe Verified User

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Anaongelea mafanikio yake ya jimbo la mbeya kuna barabara ya km 29 inajengwa'wanajenga zanahati'nyumba za waganga kukaa'mabwawa ya samaki'
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anasema sasa hivi yupo Mbeya anajenga barabara KM 25 kiwango cha lami pamoja na taa za barabarani..

  Pamoja na mabwawa ya samaki
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  werawera sugu for mbeya
   
 14. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Safi sana endeleeni wakuu kutupa habari zaidi
   
 15. K

  Kalila JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ruge anaua sanaa now anamtumia mwana fa sugu anasema kampa mil 30 ili apambane na sugu wasanii kuweni makini mwana fa anatumiwa ndo maana ay ameamua kufanya kazi mwenyewe we jiulize cluds ndo wanamiliki kampuni ya wasanii hiyo t.f.u na mwanafa kaahidiwa na ruge kuwa anapewa ubunge wa viti maalumu na rais. wasanii wa bongo watakuwa maskini coz hawana umoja wanapelekwa 2 na clouds
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kumbe jamaa yupo serious na alichoagizwa na wasanii wenzake kudos sugu..
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sijaona cha maana zaidi ya muendelezo wa ugomvi wao na Ruge. Huyu jamaa sijui ni lini atajitambua kuwa ni mbunge.
   
 18. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu kazini
   
 19. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  mbunge pia ni msanii!hakosei anachokifanya! anapiga miguu yote kama ronaldo!
   
 20. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hata wakati wa kutafuta uhuru watu kama nyie walikuwepo wengi 2. Nenda kacheze na wenzako lumumba au buguruni.
   
Loading...