Africa its time to say no! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa its time to say no!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Nov 2, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna discussion inaendelea kwa Dira ya dunia idhaa ya kiswahili ya BBC juu ya ushoga.
  Nimependa comment za mwongoza mada “mbona mnaendeshwa kama watoto“ na comments toka kwa mchangia mada kuwa Ulaya nao wameishiwa China ndo kimbilio lao kwa sasa!Kichwani nkasema labda Cameroun anatafuta namna ya kujikwamua na nchi omba omba kwa kuweka kipengele cha usoga!
  Ni kheri tule nyasi but ushoga its a big no
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Omba omba inaponza.There is nothing called free in this world.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua tukiwa serious with the resources we have na tukazitumia ipasavyo inabidi UK waanze kupata msaada toka kwetu!
  Ivi hawajui umaskini wetu kwa kiasi kikubwa ndo umeleta utajiri wao from the colonial era todate
   
Loading...