Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CHADEMA atupwa jela

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 2, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Diwani wa kata ya Makanyagio mjini mpanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Idd nziguye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na kosa la kukaidi amri ya Serikali. Nzuguye alishtakiwa kwa kosa la kukaidi amri ya Serikali iliyokuwa ikiwataka wafanyabiashara wadogo kuhama katika eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara katika mpango wa mji.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa. Napenda kujua - Alikaidi vipi hiyo amri? Je, na yeye ni mmojawapo wa wafanyabiashara katika eneo hilo?
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mpaka 2015 kila kiongozi wa CDM atakuwa jela kwa amri ya RZ 1
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,084
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hilo eneo lisilo ruhusiwa lipo kwaajili ya kazai ipi?? ni open space au la kigogo mwenye mapene...more narration ndugu sugu1
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,842
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kuwa Cdm au CCM sio tiketi ya kuvunja sheria. kama haki imetendeka hakuna haja ya kulalamika.
   
 6. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anachofanya Mh. Diwani ni sawa na anachokifanya Mh. Lema kuyapasha moto magereza kwa ajili ya kuwasubiria Mafisadi wa CCM na Familia zao baada ya 2015.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,099
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona hali ipo hivi ndugu kwa viongozi wa CDM tu? Huu ni uonevu wa hali ya juu sana
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,823
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  CCM wana tu proveke, CCM wanataka tufanye mapinduzi, CCM wamechoka kukaa madarakani
   
 9. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Diwani umefungwa kwa sababu ya kutetea haki ya Wanyonge- Umeonyesha ni jinsi gani ulivyomakini- Kuliko yule wa Diwani wa CCM aliye rest in peace huko Shinyanga. ( Hapo ndopatamu sasa KUFUNGWA na KUFA kipi bora )
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,239
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  wanataka tuwasokomeze vijiti matakoni kama gadafi
   
 11. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,069
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Vugu vugu la mapinduzi huanza taaratibu!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mandela mwingine kutoka Mpanda! Ukombozi ni gharama sana
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,912
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Umewawakilisha wananchi wako vyema؛‎ kabla ya kuwaondoa hao wafanyabiashara wangeonesha eneo lingine mbadala lililo Accesible na lenye huduma zote muhimu.
  Mwaka mmoja sio siku nyingi sana
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,729
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mabadiliko ya kweli huanza taratibu!mpaka kufikia uhuru wa kweli wengi watakuwa wametupwa jela!lakini ijulikane,ni kijinga kidogo tu cha moto ndo linaloteketeza msitu mkubwa!moto utakapowaka utakuwa mgumu kuuzima!
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa. Si vema kila kitu kichukuliwe kuwa ni siasa
   
 16. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona haifafanuliwi vizuri nadhani Mtu kama diwani hawezi kuwa mbumbu wa sheria kiasi hicho lazima kuna kitu ambacho kilimfanya achukuwe msimamo huo. Aliyeleta habari alete kisa kizima ili tuone kosa liko wapi.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,091
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kama kweli hii serikali inasimamia sheria kwa nini hawakuwafunga wamiliki wa vituo vya mafuta pale walipokaidi amri ya serikali? Nchi nzima iliwekwa rehani walikuwa wapi hawa wanatafuta walalahoi?
   
 18. R

  RMA JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 410
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli lakini mbona wale waliofanya mauaji Igunga wao hawajashughulikiwa? Sheria ni kwa ajili ya wapinzani tu?
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kama alikaidi sawa tu, ila basi adhabu hizi ziende kwa wote wanaokaidi na sio walio na mlenro fulani wa kisiasa
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,561
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Huyo diwani anastahili kabisa adhabu hiyo... wacheni longolongo za kilofa!
   
Loading...