Wanajamii kama mnakumbuka kuna jamaa alisimangwa na kushitakiwa kwa kosa la KUSIGINA KATIBA. Jamaa huyu anaitwa nani na yuko wapi? Kulingana na katiba hii tuliyonayo na uelewa huu wa wananchi juu ya vipandevipande vya katiba; jamii ya leo ingemuona vipi na kitendo hicho?