Juma Pinto na TASWA acheni kujipendekeza

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Hawa jamaa wanataka kumpa Mh JM Kikwete tuzo la kuinua michezo nnchini, kwangu mimi hii ni kampeni, na TASWA inabidi iwe makini sana na huyu Pinto, kwa nini sasa wakati wa kampeni za uchaguzi ndiyo wanakuja na hili tuzo la kuinua michezo nchini, na katika kumbukumbu zangu hii ni mara ya kwanza kwa tuzo ya namna hiyo, acheni uhuni.
 
Kwanza tuangalie kiwango cha michezo kimeinuka kiasi gani. Kama ni kweli kimeinuka na mimi nitatoa tuzo kwa yule aliyekiinua.
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana hata wale dada wa ohio huwa hawajiuzi kiraisi vile. Hawa watu ni sawa na nyani tu siamini kama huyu anaweza kuwa na fikira hata kidogo. Hii ni aibu kwa taifa!
 
Slaa, Kikwete na lipumba hakuna anayestahili tuzo ya kupenda au kuendeleza michezo. Kikwete anastahili tuzo ya usanii kwa sababu anajua usanii kwelikweli. Huyu alikuwa Mlezi wa Chama cha Mpira wa kikapu wakati ule wa Kina Kalikumtima na Mwamlenga akijifanya mpenzi wa mchezo huo ili aweze kupata kura za wanabasketball lakini alipochaguliwa akahamia kwenye soka na kuwaacha wakina Kasesela wakihangaika wenyewe. Kikkwete ni Populists kama Pinto wake basi.
Slaa na Lipumba hata hatuna cha kuwasema kwenye michezo maana ni mizigo kama ilivyo nchi yetu mzigo kwenye michezo.
Mungu ibariki tanzania ili watokee watu wa michezo si hawa waandishi wasanii wa michezo ambao wanajua mishiko tu
 
Back
Top Bottom