Huyu Mpaupau si ndiyo huyu huyu wa kipindi chote cha matukio ya ugandamizaji wa haki hapa A town! Nilitanguliza kitambo kauli hii ya kwmb hakika hawa maarosto walioko hapa Mkoani kutumikia sisiem na kuacha kulinda raia na mali zao halafu wanakuja kujazana siku wakisikia CDM wako pale mahakamani,,,,,,,,,,,,,Yani nawaambia watakuja jutaga na kushika vichwa. Huyu mkaimu naye anasema zuberi ajawaita raia panya hebu tumwache alivyo halafu hz salaam tutamhusisha yule mkubwa wake yule angenye ila nina wasiwasi nimekosea majina yao ila nitaeleweka tu. Col. Gaddafi amewaita raia wake MENDE lakini hatima yake Mi nafikiri hata yule PAPA MKUBWA wa hawa mafisadi anajua alipo huyo Col Gaddafi.