Je ni halali kwa polisi kumdhalilisha mbunge kiasi hiki?

Hata kama Lema ana matatizo yake lakini udharirishaji huu wa polisi kwa mbunge halali aliyechanguliwa na wananchi
wengi si cha kiungwana. Naungana na Mh. Lema kokote aliko kupinga hali hii ya polisi kutumiwa na CCM.

Quinine, the Law is the Law and applies to all equally, hutaki kudhalilishwa 'OBEY it'. Ukiwa Mbunge unatarajiwa kuwa Model katika kufuata sheria hutarajiwi kuvunja sheria kwa matarajio ya kuhurumiwa kwa nafasi ya Ubunge.
 
Hii ilikuwa ni baada au Kabla SAID MWEMA hajatoa semina kuhusu UTII BILA SHURUTI? huyu Lema kumbe ni kichaa. Nini udhalilishaji wa Polisi hao? si Lema alitakiwa tu kutii sheria?
 
Last edited by a moderator:
Hii ilikuwa ni baada au Kabla SAID MWEMA hajatoa semina kuhusu UTII BILA SHURUTI? huyu Lema kumbe ni kichaa. Nini udhalilishaji wa Polisi hao? si Lema alitakiwa tu kutii sheria?
Sheria ipi? Unatii Sheria sahihi,sio sheria iliyopindishwa
 
Wachangiaji wengi ktk thread hii kama mamluki na wapinga mapinduzi vile sijui wanafaidika na ka mfumo
 
$iku zote wana mapinduz wanapitia vikwazo ving sana na hki ni kimojawapo, wachangiaj mnaotetea hli najua ni uelewa mdogo tu ila tambua hakuna askar anaepaswa na yeye kuvunja sheria kwa kupiga au kujeruh huo ni upuuz na hatutafunga mdomo kwa kuogopa milio ya risasi
 
Quinine, the Law is the Law and applies to all equally, hutaki kudhalilishwa 'OBEY it'. Ukiwa Mbunge unatarajiwa kuwa Model katika kufuata sheria hutarajiwi kuvunja sheria kwa matarajio ya kuhurumiwa kwa nafasi ya Ubunge.

Nadhani ulichagua jina(muafaka) ambalo halikustahili. Sheria gani inambana mbunge wa upinzani tu? Kuna tofauti gani kati ya Sendeka na Lema?! Nakushauri ufikiri kabla ya kutoa mawazo yako.
 
Quinine, the Law is the Law and applies to all equally....

"The law is the law and applies to all EQUALLY". Wewe ni Mtanzani unayeishi Tanzania hii? Just to remind you what happened and reported in Arusha.
Moja, Makamu Mkiti UVCCM, Malisa aliandaa mandamano na vijana wenzake wa CCM na mkutano bila kibali cha Polisi, alikamatwa?
Pili, Mkiti UVCCM Ole Millya aliongoza maandamano hadi Polisi palepale akaingia ndani ya uzio na kundi hilo. Nani alipigwa au kukamatwa?
 
$iku zote wana mapinduz wanapitia vikwazo ving sana na hki ni kimojawapo, wachangiaj mnaotetea hli najua ni uelewa mdogo tu ila tambua hakuna askar anaepaswa na yeye kuvunja sheria kwa kupiga au kujeruh huo ni upuuz na hatutafunga mdomo kwa kuogopa milio ya risasi

kila jambo linaongozwa na sheria.... kumbuka bila sheria lema asingekuwa mbunge.... wananchi si kitu kwake kama sheria isngetamkaa bayana na kumpa raia haki ya kuogombea ubunge... anapaswa kufuata sheria ... mapinduzi hayaji kwa nmna hiii..... huuu ni uhuni wa kisisas ambao huyu jamaa anajaribu kujenga mataji wake kisaiasa... analazimisha mazingira ya kuonewa ili wanachi wamuhurumie.... tunataka mapinduzi KAMA YA KINA ZITTO... ZOTTO HANA FUJO, ANAFANYA RESEARCH ANASOMA SANA THEN ANAPRESSENT VITU VYENYE MASHIKO MPAKA MAGAMBA WANAKOSA PAKUTOKEA.... LEMA NI TATIZO CDM...... HATUTAKI MAPINDUZI YA KISHENZI ...... NAANZA KUMUAMNI KOVA LEAM KWAMBA LEMA JAMBAZI
 
Quinine, the Law is the Law and applies to all equally, hutaki kudhalilishwa 'OBEY it'. Ukiwa Mbunge unatarajiwa kuwa Model katika kufuata sheria hutarajiwi kuvunja sheria kwa matarajio ya kuhurumiwa kwa nafasi ya Ubunge.
je ni kweli aliandamana?watu wengi wanapoenda sehemu moja ni kuandamana?mbona hawazuii pale mwenge kwa Kakobe?sokoni Kariakoo?
 
Lakini ni halali kweli Mbunge kuleta fujo kwenye vikao vya halmashauri? kiukweli hili sio tatizo la polisi bali ni tatizo la Lema binafsi, kama kweli lingekuwa ni tatizo la polisi basi tungesikia pia likitokea kwa Zitto na Mnyika kwa uchache, lakini kwanini hii haitokei kwao ni kwa sababu wapo makini kihoja na kiufahamu.

Lema japo ni Mbunge lakini anajipresent kama mvuta bangi tu wa kijiweni, na hivyo kutowapa polisi option zaidi ya kupambana nae kama wanavyopambana na wahuni wengine wa mitaani.

Ukifuatilia vizuri hiyo video Lema alikuwa anazungumzazungumza tu kwenye kikao bila utaratibu, katika mazingira hayo polisi hawakuwa na namna bali kutii mamlaka ya kiti iliyowataka kumwondoa kwenye baraza ili kikao kiendelee kwa utaratibu.
 
Quinine, the Law is the Law and applies to all equally, hutaki kudhalilishwa 'OBEY it'. Ukiwa Mbunge unatarajiwa kuwa Model katika kufuata sheria hutarajiwi kuvunja sheria kwa matarajio ya kuhurumiwa kwa nafasi ya Ubunge.

I hope you mean what you say. And infact law should be obeyed by all citizens including those senior ones. What troubles me is just one simple thing....why the application of law is so selective? Trust me, kama ni kwa uonevu, hii si laana kwa Lema. Polisi bila kufahamu watakuwa wamebariki movement kubwa ambayo hawataweza tena kuizuia. Kama kwenda ndani ni kitu cha kudhalilishwa sana ameenda...unafikiri kuna adhabu gani tena itakayofuata???
 
Quinine, the Law is the Law and applies to all equally, hutaki kudhalilishwa 'OBEY it'. Ukiwa Mbunge unatarajiwa kuwa Model katika kufuata sheria hutarajiwi kuvunja sheria kwa matarajio ya kuhurumiwa kwa nafasi ya Ubunge.

I dont think if it is right: this is too much: it is well corfirmed that police force deliberately have negative altitude wiz opposition parties(especially leaders), that is why you see every short period of time one of the leader taken in custody or sometime in the court of law, even if no offence having the merit to be an offence.

When it come to the issue of Law contradication arises, it seems that Laws were enacted purposely to purnish those who defend & protect people's right and not for those who still & destroy public properties(eg. Wafisadi etc.)

The question is: where w're going if honest people turn to be unwanted in community..
 
Sheria ipi? Unatii Sheria sahihi,sio sheria iliyopindishwa

Sheria inasema kwamba, ikiwa polisi ataona kuna uhalifu/uvunjwaji sheria unafanywa mbele ya macho yake, atamuomba mtuhumiwa kuongozana nae bila kushurutishwa hadi sehemu husika(like kituo cha polisi). Lakini ikiwa mtuhumiwa hatatii, polisi wana haki wa kutumia nguvu kwa muhusika bila kujali muhusika huyo ni nani! Kwa jinsi anavyoonekana Lema, wala si mtu wa kuambiwa twende kituoni na akatii bila kushurutishwa.
 
Mtoto akilia wembe, mpe. Lema kwa ujinga wake amelilia kwenda jela. Amejidhalilisha mwenyewe.
 
Hao Polisi huwa wako fair kwa kila mtu au ni kwa viongozi wa upinzani tu!Naona huwa ni vigumu sana kutimiza sheria kwa viongozi wa chama kinachotawala,au sheria ipo kwa ajili ya kundi fulani tu?
 
Kinacho wasumbua polisi arusha nikujipanga kwa ajili ya ukubwa wa 2015 kama magamba watafanikiwa kuiba na kuingia magogoni tena...!!!! Andengenya anajiandaa na U-Mwema (IGP) na sasa yuko Marekani....Zuberi ameahidiwa na magamba madaraka makubwa hivyo anafanya chochote anachoambiwa na magamba. Sirro alipoona siasa zinaingizwa kwenye utendaji pale mwanza alimdhihirishia Mkurugenzi yeye sio mbwa wa kufanya chochote anachoambiwa...alirudisha polisi kambini....mgambo wakapata kipondo...na makuwadi wa magamba(wahindi) wakakiona cha moto.....je kwnini ni arusha kila siku.....Zuberi alishajiapiza kwa Lema kwa kumwambia nitakukomoa na utaona !!!!
 
Back
Top Bottom