Diwani wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga mjini (CCM) afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga mjini (CCM) afariki dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Nov 2, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

  source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  R.I.P diwani, nina ombi maalumu inapotokea suala la kifo suala la Magamba na Magwanda tuweke pembeni tuwe wamoja kwani kila mtu atakufa. Kuwa Magamba au Magwanda siyo symbol ya superiority au inferiority wakuu.
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  sumatra hawaoni hizo ajali za pikipiki zinavyotumaliza?wao wanakimbilia kuifungia dar exp
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ajali zitatumaliza! R.I.P
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  R.I.P Diwani,tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi!Ila mkuu ni vizuri watu wakajua alikuwa chama gani,sema labda maneno kama magamba au magwanda yasitumike na badala yake yatumike majina sahihi ya vyama kama ccm au chadema
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Oh diwani!! Kwanini CCM hawakumnunulia gari kutimiza majukumu yake? RIP
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sisi tupo pale kuhakikisha kama kweli amekufa ili CDM tuchukue kata yetu, Yeye RIP
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  R.I.P diwani!
  Hiyo ajali imetokeaje? Nani alikuwa anaendesha pikipiki?
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo hii bado ni tetesi-badilisha heading yako mkuu
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  R.I.P. Diwani.
  Mzee wa Rula, Issue siyo Superiority au Inferiority, Issue ni Kata liko wazi wapambanaji wakapige kambi kulikomboa!
   
 11. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  hiyo sasa ni mali ya pipozzzzzzz
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,115
  Trophy Points: 280
  Poleni sana, nguvu kazi ya taifa inapotea tu, weee mchina wewe jamani!!
   
 13. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  angekuwa mbunge nikacheki mahelkopta
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo kwenye red umetuchanganya! Inamaana bado hajapelekwa mortuary?
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Rest In Peace Diwani! Na bila shaka magamba watakuenzi!
   
 16. E

  Exaud Minja Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Angalia usimzushie kifo kabla. Unatakiwa ufuatilie kuwa na uhakika na habari yako. Kupoteza maisha kwa mtu mwenye famillia yake sio kitu cha masihara jamani kuna wataomtegemea, achilia mbali wapiga kura wake.
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Rest in Peace Diwani wa gamba
   
 18. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kafa mmoja tu? mimi nadhani walikuwa wamepakizana ili wote walale salama. Magamba nuksi.
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Ingawa alikuwa ni Gamba R.I.P diwani.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mwingine tena?? Kwakweli huu ni mwaka wa madiwani anyway bwana amekupenda zaidrest in peace mkuu.
   
Loading...