Naomba ujibu hili swali..

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
[h=6]NAOMBA MNISAIDIE WATU WANGU JE ;TANZANIA KUNA VIONGOZ WANGAP WALIO NA AKILI TIMAMU[/h]
Nimefanya kucopy na kupaste tu.....
 
... Despite the old saying, 'Don't take your troubles to bed', many men still sleep with their wives!! ... Baada ya kusema hayo tusubiri Wenye Fikra KUBWA zaidi waje watoe mitizamo mikubwa!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mmh mhm da! wachache lakini hawapewi nafasi hiyo katika maamuzi!
 
Is it possible tukatumia demokrasia yetu kuchagua viongozi wasio na akili timamu?? Kama ndivyo basi sote hatuna akili timamu
 
wenye akili timamu wako kwenye utendaji, kisiasa, mhhhhh hakuna mkuu kuanzia jemedari wao mpaka chini na vizazi vyao vyote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom