Is lema out? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is lema out?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TECHMAN, Nov 4, 2011.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Kunafununu nimezipata toka arusha kuwa kamanda G. Lema ametoka mahabusu, watu wa Arusha hembu mtujuze hili
   
 2. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bado we subiri tu hawezi toka kimyakimya hivo bila maandamano ya kumpokea siku hiyo lazima watu wawekwe ndani nakushtakiwa hayo ndiyo yatakuwa mashtska halali si haya ya kubambikizwa.
   
 3. Nyota Ndogo

  Nyota Ndogo Senior Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Atoke aende wapi wakati uraiani amepachoka?
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mhuni huyo ngoja kwanza anyee debe.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kumbeeeeeeeee! Huyu jamaa noma, Wafadhili wao" MTOTO SI RIZIKI" , mtaani hakuna wenye time nao. Kaamua kuwafuata Kisongo. Walivyo na ukame mbona atawasusa mwenye. Kazi kwenuuuuuu, Kisongo.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  masaburi at work
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  masaburi at work
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Kwako wewe na kwa jinsi ulivyo na akili za mbayuwayu hata Mandela ni Mhuni!
  Harakati za Ukombozi wa Tanzania Lema ndiyo atakuwa mmoja ya alama ya ukombozi wa haki na uhuru wa Tanzania!

  Godbless Lema alama ya Ukombozi wa Wanyonge!

  Aluta Continue!
   
 10. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .........mnajiuliza tofauti kati ya vichwa vya kuvalia kofia na vya kufikiri; hiki hapa chini ni lichoki-nukuu ni mfano halisi kama sio mzuri
   
 11. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huyo anayeandika upupu naona kama amelaaniwa vile..
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Muhuni baba yako aliekulelea kwa tabia yako mbaya unayoionyesha.
   
Loading...