Haki za mwanachama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki za mwanachama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maswi, Nov 4, 2011.

 1. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haki za MwanaChama CHADEMA
  Kila mwanachama ana haki ya:-
  5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
  5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia
  masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.
  5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa
  kuzingatia taratibu za vikao.
  5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
  kinidhamu kicham
  a.
  5.3 Wajibu wa Mwanachama CHADEMA
  5.3.1 Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomhusu na katika shughuli nyingine za Chama
  kadri atakavyotakiwa
  5.3.2 Kuchangia gharama za uendeshaji Chama kwa njia ya ada ya Uanachama ya kila mwaka
  na kwa michango mingineyo inayoamriwa na vikao vya Chama.

  5.3.3 Kutetea na kueneza Itikadi, falsafa na madhumuni ya Chama ndani ya jamii anamoishi.
  5.3.4 Kushirikiana na wanachama na viongozi wengine wote katika kutekeleza sera na mipango
  ya Chama.Kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na
  ubaguzi.


  5.3.5 Kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na
  ubaguzi.

  TAFAKARI
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa, tupambane kadri tuwezavyo kuwashinda Hawa Mashoga wa Uingereza/Ufipa
   
 3. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa njinsi haki na wajibu wa mwanachama wa chadema ulivyo, unatia matumaini.
   
Loading...