Tofauti ya utawala wa Zambia na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya utawala wa Zambia na Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KunjyGroup, Nov 4, 2011.

 1. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hadi leo, serikali ya Zambia imehamasisha mabenki yamepunguza cost of borrowing (kiwango cha kukopa) kama ifuatavyo:
  • Cavmont Bank from 20 to 16%
  • Invest Trust and ZANACO banks from 19 to 15%
  • Standard Chartered and Finance Bank from 19.5 to 15.5%
  Hii inatikana na ahadi ya rais Sata “more money in your pockets.” Sindhan kama hili linaitaji maelezo zaidi.
  Serikali ya SAta iko mbioni kuakikisha katiba mpya inatungwa tofauti na Tanzania ambako chama tawala kinapiga danadana swala la kariba.
  Haya ni machache nilitaka ndugu zangu wa JF muyapate….
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Zambia wamejikomboa mbona mkuu!! Hilo halina ubishi. They are now building and soon will start enjoying. Kwetu sote mpaka tuwakate hawa viongozi wasiotaka kutuunganisha pamoja, wao kazi yao ni kuwa "wanaamini kutawala Tanzania ni haki yao ya msingi, mimi na wewe hatuna haki wala kuhoji mambo kama hayaendi sivyo ndivyo".
   
 3. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa huko kama wiki imepita,nimetamani kama ningezaliwa kule.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Thamani ya pesa yao ikoje ukilinganisha na TZ?
  Maisha ya mwananchi wa kawaida yakoje ukilinganisha na ya mtanzania? Uliza watu wanaopeleka mizigo watakwambia maisha wanayoishi wazambia ni sawa na maisha ya mtanzania miaka ya 90.
  usitudanganye bwana. Fanya utafiti zaidi, Wazambia wangapi tunao humu nchni mwetu, kuwaondoa hapa kwenda kwao mpaka kwa mtutu, si wangesharudi kwa sababu unafuu wa maisha?
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  With the exception of Samwel Sitta and Mwakyembe who have overtly proclaimed themselves as anti- corruption the remaining CCM leaders including the head of state do not have a genuine will of pulling our nation out of poverty. We have seen hundreds of development plans put forward but almost none of them comes to a prosperous ending.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  \

  Pata data hizi alafu ukae kimya. Inaonekana wewe unajua tu kuingia JF zaidi ya hapo kichwazi kweupe.
  Idadi ya watanzania tuko zaidi ya mil.41 wakati Zambia wako mil. 12 tu;
  Fedha ya Tanzania ina thamani zaidi ya ile ya Zambia kwa 1.3%;
  Wastani wa umri wa kuishi wa mtanzania ni miaka 53 wakati Mzambia ni miaka 52;
  Tatizo la ajira Zambia ni 14% zaidi ya Tanzania , which means Zambia tatizo ni kubwa sana;
  Vifo kwa Zambia 0.6% zaidi ya Tanzania ,pamoja na kwamba ni wachache kuliko Tanzania lakini wanakufa kuliko wa-Tz na mengine mengi nitafue nikupe data zaidi, tusiwe tunatafuta tu sifa humu JF kumbe vichwa vyetu vimelaa.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nadhani kama kuna jambo la kusifia au kujifunza basi tujifunze toka huko hata kama kuna tofauti kubwa kati yetu au kuwazidi katika mambo mengi,kwa namna alivyosema ni namna ya uwajibikaji na kutimiza ahadi kwa viongozi wetu mara baada ya kuchaguliwa,tukumbuke kuwa kuna nchi nyingi ambazo tulikuwa tumezipita na wanajaribu kufanya jitihada za kuendelea wakati sisi tunabaki kujivunia na takwimu.
   
 8. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kitu nilichogundua ni kwamba wewe, thatha ni vilaza sana mnaokurupuka kurukia mada bila kuielewa. Inaonekana ni wagumu sana kuelewa na ni wepesi sana kusahau. Tunakubali kuwa Zambia tumeizini kwa mambo mengi, but tunapngeza hatua inayochukuliwa na kuongozi mpya ulochukua mdaraka hivi punde ktk kuboresha uchumi wa Zambia na kuboresha hali ya maisha ya wazambi.

  Tunapaswa kujifunza na kupongeza jitihada na uzalendo unaoonyeshwa na viongozi hawa, tuache ubishi.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Bado una nafasi ya kuishi kule, kaolewe huko, ruksa.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako ni kwamba unakuja humu ukiwa na interest zako ,sasa ukipewa data unabaki kuruka ruka kama kitenesi, haya sasa unaelewa madhara hayo mabadiliko anayoyafanya? Huwezi kufanya mambo as if wewe ni developed country,subiri sasa uone baada ya miaka mitano kama wazambia hawajamtimua kwa mapanga.
   
 11. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,500
  Likes Received: 2,038
  Trophy Points: 280
  jamani HAJASEMA kua zambia imeendelea kuliko tz ila AMEMSIFU rais wa zambia kwa hatua azozichukua kuimarisha uchumi,na jinsi anavotekeleza ahad tofaut na wakwenu(JAH KAYA) alivowahi kuota kujenga barabara za juu..NATUMAI UMEELEWA OTHERWISE UR NOT A GREAT THINKER..
   
 12. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa haraka haraka unaweza ukaona ni jambo zuri, Rais akatoa tu amri na mabenki yote yakashusha rate zao, lakini ukitazama sustainability ya uamuzi kama huo uliotokana na siasa kuhodhi maamuzi yaliyopaswa kufanywa na wataalamu wa fedha na uchumi, historia inaonyesha kuwa mwisho wake uwa sio mzuri,time will tell...
   
 13. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
   
 14. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwahiyo kulingana na akili yako uwingi wa watu ni kigezo muhimu? Hivyo nchi kama marekani au china yenye watu zaidi ya bilioni moja zinapaswa kuwa masikini kuliko Tanzania yenye watu chini ya milioni 50. Kuna nchi duniani zina watu wachache idadi yao hawafiki hata milioni moja lakini uchumi wao ni mbovu utasemaje? suala ni kuwa na uwezo wa kuongoza uchumi wa nchi na si porojo.

  Kwa taarifa yako ndani ya mwezi mmoja tu SATA aingie madarakani ameweza kukusanya pesa ya kutosha kutibu kinamama na watoto nchi nzima bure, sasa swali ni kwamba kwa nini utawala uliomtangulia ulishindwa kufanya hivyo na idadi ya watu ni ileile?
   
Loading...