Mh. Kikwete, 2015 tunahitaji rais mchapa kazi

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Nakuandikia ujumbe huu muhimu nikiwakilisha mawazo chanya ya watz wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine tumekata tamaa na serikali yako ya sasa,ninakutahadharisha kwa hili kwa kuwa wewe kwa nafasi yako ndani ya serikali tayari kuna tetesi kuwa una mtu wako mfukoni,ndo mana umekuwa ukigombanisha watu kwa maslahi ya mtu wako,lililo wazi ni kuwa hatuko tayari kurud tulipotoka,tunahitaj kiongoz mchapakazi na jasir na aliye na msimamo wa dhati usiyoyumba ,wito wangu ni kuwa angalau kipindi kilichobaki kwako punguza safari za nnje zisizokuwa na tija kwa mwananchi maskini! Rais atoke kusini,kaskazini,mashariki,magharibi au popote so far ni hard worker hakuna tatizo atabaki kuwa rais wa watz wote nawasilisha
 
Najua hadi za uongo mlizopewa na CDM ndiyo zinawatafuna sasa, mlidanganywa kuwa saruji 5,000, shule bure, hospitali bure pesa mtapewa n.k. Fanya kazi kaka , peleka watoto shule , acha kukata tamaa. wao sasa hivi wako kazini , na kazi yenyewe ni kukugomesha, kukushawishi uandamane huku ukiacha kufanya kazi wakati wao ndo wako kazini hivyo
 
Acha upumbavu,kama huna chakupost kaa kimya,kama ahadi mbona chama chenu cha magamba kimetoa ahadi kibao,je kimetekeleza?ufinyu wa mawazo unakuandama sana....jikomboe...inaonekana vikanga na vikofia vya yeboyebo vinakutesa sana,funguka aisee
 
Na Rais asiyechanganya ushauri wa waganga wa kienyeji na ule wa kitaalamu katika kuendesha nchi. Nchi hii sasa hivi tunaendesha mambo kwa kutumia ushirikina zaidi
 
Kama kweli CCM ilishinda 2010 simshangai Mr Kikwete kuwepo Madarakani, Waingereza wanasema "majority rules, minority rights" kwa maana hiyo Kikwete ni chaguo la wengi, kama Watanzania mnapigika na maisha katika uongozi wake, naomba muendelee kupigika mpaka kitakapoeleweka 2015.
 
Back
Top Bottom