Chadema-sera yenu ya teknohama inasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema-sera yenu ya teknohama inasemaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Nov 4, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sijavibagua vyama vingine ila kwa sasa ni wazi ni hali halisi challenger wa CCM ni CDM

  Dunia ya sasa ni ya dot com. Mafanikio yan chi kama India, china , singapore kwenye sekta mbali mbali mbali yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na TEKNOHAMA.

  ni kwa sbabau hiyo napenda kujua , kuuliza au kuelweshwa CDM
  • sera yao inasema nini kuhusu TEKNOHAMA
  • ni mabadiliko gani ya TENOHAMA tutayaonao kwenye sekta gani mbali mbali within 5 yrs kama wakipewa ridhaa ya kuongoza?
  • je wamejaribu ku immpliment hayo kwenye halmahsuri chache wanazoongoza?
  • Na ni nani hasa ni ni msemaji na mhuusika au mtunga sera wa mambo ya TEKNHOHAMA naniya CDM

  Nawasilisha kwa wenye taarifa na wahusika wa CDM watujuze.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  @Dr W. Slaaa
  Tunaomba utembelee jukwaa la teknolojia siku moja upate maswali, maoni,ushari na dukuduku za wanajamvi katika mtazamo tofauti( Kiteknolojia)na wewe pia utupe mawazo, shule na darasa na mtazamo wa CDM wa mabailiko tunayohitaji kwa mtazamo huo wa kisayansi na kiteknolojia.
   
 3. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Ninachofahamu kwa ufupi kulingana na Ilani yao ya 2010-15

  Page 21: Kubadili mfumo wa elimu na Kuhimiza ufundishwaji wa stadi za maisha na TEKINOHAMA kwa kuhakikisha kuwa matumizi ya teknolojia ya kisasa yanaanza mapema kwa wanafunzi wetu ili kuweza kuwaleta katika kiwango cha kimataifa cha elimu na ujuzi mapema inavyowezekana.

  Page 88 - 89Kuufanya mji wa Tanga kuwa kitovu cha TEKINOHAMA. Pia katika kuhakikisha ukuaji wa sekta ya TEKINOHAMA wangefanya yafuatayo kama serikali:
  • Itafuta kodi ya mapato ya biashara kwa makampuni yenye kujishughulisha na Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKINOHAMA) ambayo yatakuwa na makazi yake mjini Tanga.
  • Serikali itatoa motisha wa misamaha ya kodi nyingine mbalimbali za huduma na bidhaa zinazohitajika katika shughuli za TEKINOHAMA. Kodi pekee ambazo zitaendelea kulipwa ni zile zitakazowekwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga.
  • Mashirika ya TEKINOHAMA yenye wafanyakazi zaidi ya ishirini wanaoishi na kufanya kazi Tanga watapatiwa msamaha wa kodi ya mapato. Hivyo mishahara yao haitatozwa kodi kwa kipindi cha miaka kumi ambacho makampuni hayo yanafanya maskani yake Tanga.

  Kwa ufupi kulinga na nilichosoma kwenye Ilani yao. The rest wenyewe wanaweza kuweka sawa zaidi hapa
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi nawashauri wajaribu kutafuta nmna ya kuongeza yafuayato.

  • Kama amabvyo kila mkoa kuna afisa kilimo, afisa elimu, mganga muu wa mkoa basi wafirkirie kuajri nafasi ya Afisa TEKNohAMA wa mko na ikiwezekan hata .
  • shule wanafuzni hawafanyi practical sbabu hauna mabara au vifaa vya maabara . Lakini kila shule inawwza kuwa na visual lab. Kugawia kula shule TV, Laptop oja na projector moja na kujenga chumba kimoja kwa ajili ya visual lab. Hii itwasaia wanafuzi sana kuona vieo ziliztyrishwa ndania au nje za practical mbali mbali hasa za nje.
  • Maktaba za Mikoa ziwe na sehemu computer center za Mikoa kuwasiad wafanyakazi mbali mbli wa serikali na binafsi kwenye kupata tarifa mbli bali na upta maelekzo kutok kwa wataalau nan y upat taarifa kwa gharma nafuu mtandaoni. maana sasa hiivi hata mkataba ya taifa pale imekuwa pango la biashara
  Baadhi ya haya wanaweza kujaribu kuya impliment kwenye halmashuri wanzongoza. yapo Mengi kama vile
  • Matumizi ya magari ya umeme . Sasa hivi kuna magari yanawenda Hata 40 kwa nguvu ya betri.
   
Loading...