Safari ya nnauye jr marekani nikumfuta machozi ya kudhalilika kuhusu igunga:

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Kijana huyo ambaye anatajwa kuwa machachari kwenye siasa uchwara kama ilivyo elezwa na Rostam Aziz mbunge wa zamani wa igunga aliye ng'atuka mara baada ya kushindwa kuendelea kunywa siasa maji taka.

Kwa huruma ya Makada wa aminifu wa CCM mzee malecela na nduguze wakamfadhili safari ya kufika huko hata afiche uso wake ili aweze kuja kuendelea na siasa .

Hata hivyo katika chanzo cha kuaminika kinaeleza kijana huyo ametia ya aibu mengi sana kwa wenyeji wake huko nitawajuza napanga clips vizuri.

Mwenyewe asema amerudi kwa Ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi kujenga chama kupitia JF kwenye ID ya nnauyeJr aliyo ikana mara baada ya kutuhumiwa alitangaza matokea kabla ya NEC.

Nawasilisha

MY TAKE:

Samaki akioza huanzia kichwani, wewe mkia tu uozo lazima.
 
Ccm kwa sasa kila mtu ni gamba nape kwa kundi lingine yeye ni gamba na yeye anawaita wengine gamba wote wananyosheana vidole wewe ni gamba wewe ni gamba sijui mwishowe ni nini?
 
Back
Top Bottom