kamati ya Bunge imeitolea nje manspaa ya Ilala. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kamati ya Bunge imeitolea nje manspaa ya Ilala.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Nov 4, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Ile kamati ya ya Bunge inayoongozwa na Mh.Mrema amegoma kopokea taarifa ya mahesabu katika manispaa ya ilala baada ya kukuta kunaupungufu wa 18bl mwaka 2010/2011 na 3bl mwaka 2009/2010 ambazo hazina maelezo zimeenda wapi.wamewataka wafanye malekebisho na kuwasilisha tena baada ya mwezi mmoja.mia
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  aisee hii nchi kuna watu wanaifaidi sana yaani kama ni ndoa basi ni kama mtu umemuoa binti bikira!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  una matatizo gani wewe huko ulimini, punguza kwenda kule, ulimi utaisha huo
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  poa mkuu nmeshapunguza.mia
   
 5. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Kule wapi tena au ndio kwenye salt? anyways natoka kidogo nitarudi baadae
   
 6. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Kiswahili bana! balaaaaaa
   
Loading...