Ofisi ya David Cameron yakataa tuhuma za kushawishi ushoga

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Speaking to the Daily Graphic in London, Ms. Helen Bower, a spokesperson at the Number 10 Downing Street Press Office, said “the UK Government is at the forefront of work to promote human rights around the world, and regularly criticizes governments which violate those rights. Reacting to media reports in Ghana in respect of United Kingdom’s financial aid to the Third World and respect for human rights

Gonga Hapa David Cameron's Office Clarifies Statements On Gay Rights | Politics | Peacefmonline.com

Haya sasa ufe na njaa au utoe suna kazi ipo.

MY TAKE:

Hawa jamaa wametuona sisi ni mabwabwa kisa kuwategemewa wao katika kila kitu, hili ni tusi ambalo ni sawa na mdowezi akiambia kila siku unakula kwangu sasa uolewe.

Tanzania tujipange katika kuimarisha uchumi wetu wa ndani vinginevyo tutatukanwa sana, Tukumbuke structural adjstument program 1980's Nyerere aling'atuka kuepuka fedheha Mwinyi akasema ruksa kwani hakuwa na kitu. Je ulaya wakaungana na marekani kuhamasisha hili je Kikwete uko Tayari kusimamamia utamaduni wa Taifa???

Nashawishika kutaka kumsikia Rais akilisema hili Mwenyewe sio Membe ambaye wote tunamjua kigeugeu.

Hakika mkuu wa kaya umetegwa pabaya.
 
Hakika huo ni mtego,manake jamaa hao wananguvu sana kuliko wengi wasivyotarajia
 
Ulilo liongea ni lakweli pia mimi nashawishika sana kumsikia Rais akitamka kuwa ushoga atuutaki wketu. kwanini nasema hivi waletunaowapa habari hisi wanatakiwa kujua kuwa hatutaki ujinga katika hili kwani sisi sio mabwabwa, ni tusi kubwa sana.
Rais wetu unatakiwa kujua kuwa wewe ndio baba mwenye nyumba unatakiwa kutoa tamko kama baba. kwani hata ukiwa nyumbani kwako watu wakija kisha tamko likatolewa na mtoto wako wengi watakuwa na maswali na kutaka kujua wewe baba unasema nini tunataka vitendo.

pia wakati umefika kuweka tofauti zetu za kisiasa pembeni tupambane kupigania nchi yetu, waiteni CUF, CHADEMA, NCCR NA VYAMA VINGINE TUJENGE NCHI YETU HAWA NDIO WAMEANZA MWISHI WOTE TUTATAKIWA KUTOA TIGO WAKATI TUNA RASILIMALI NYINGI KWETU WANAZIFUJA WAO KISHA WANATUTAKA MIGONGO HII HAPANA SIKUBALI KAKA.
 
Hili ni tatizo litakaloleta laana katika nchi zetu endapo tutalikubali. Tafadhali watanzania, tuongeze juhudi katika kazi ili tujikomboe kiuchumi
 
Inawezekana mzee Mugabe alikuwa sawa alipomtusi kipindi kile Tonny Blaire kuwa na ye ni mkuu wa mashoga
 
HUU ni udhalilishaji,,, tusikubali kuuza utu maaana kwa maana hiyo ni sawa kwamba tunaambiwa lazima tuwe machoko ndo tupewe misaada
 
Hatuko tayari kusikia maneno ya wao kutetea msimamo wao au kukanusha kwani kwao ni kitu wanchokiamini na kipo kwenye sera za chama chao tawala . hatuna budi kujitoa katika mshikamono na mpotofu huyu wa maadili na kuanza kususia bidhaa za taifa hili
 
hilo ulilosema mkuu ndio wengi wanajisahau na kumfananisha JK na David Camerom eti kwa vile wote ni viongozi wa nchi.
Uingereza ina uwezo wa kurusha vyombo mwezini wakati TZ hatuwezi kutengeneza hata pini za kutolea funza wanaotusumbua!
Hatua ya kwanza ya kumjibu huyu David ilikuwa ni Viongozi wote kuanza kutumia Corolla au baiskeli (kuna ofisa mkubwa wa ubalozi mmoja anatokaga Masaki mpaka mtaa wa Mirambo kwa baiskeli - tatizo anaogopaga vibaka) kama malikia anavyotumia farasi.
Wewe Membe, Wewe Membe, Wewe Membe, Wewe Membe, wewe, wewe ...mnavyokwenda huko na kuchukua hizo zawadi za suti na na kusign mikataba ndipo wanajua akili zetu zilivyokaa na kutwambia haya wanayosema! Kumbuka hwa jamaa research zao ni za ukweli na mpaka wanafikia kutwambia hivi, wanatujua.
Nasi tuwajibu kwa kufanya research kwanza badala ya kukurupuka!
Hakika huo ni mtego,manake jamaa hao wananguvu sana kuliko wengi wasivyotarajia
 
Mashoga wenyewe wa kutetewa wako wapi na wangapi kwa Tanzania hadi tukose cha kujadili ni kuwaongea wao. watoke hadharani na tuwafanyie sensa ikiwezekana tumpe Cameroon orodha yao awatafutie pa kuishi ili kulinda haki zao anazotaka yeye.
 
Zimbabwe nililisikia wapo 500 tu out of entire population ya Zimbabwe. hao tuwapangishie Gesti kila mmoja na mwanamke au Mwanamke na mwanaume wakae kama wiki tuone kama wataendeleza tena USHOGA.
 
hawa wazungu wanaakili sana kwani walianza kidogo kidogo kutuambia maneno ya kijinga na sisi tukakubali. Baadae wakaja na utandawazi tukakubali vijana wetu wakavaa herini, baadae vjana wakaanza kuvaa suruali ****** nje, hayo yote yalikuwa maandalizi ya kutubadilisha na kuwa mashoga. Kosa walilolifanya ni kuwa wangengoja hichi kizazi walichokiaandaa kwa ushoga kishike madaraka ndio waanze huo ujinga wao.
 
hebu tusubirie huu msimamo ka utakua hadi mwisho...................tiuombe Mungu iwe hivo mana kuna viongozi watajitokeza na kushawishi
 
Inawezekana mkulu kakubali kabisa mambo haya toka alipokuwa huko na ndio maana kamuagiza waziri ajibu ili kupunguza upepo,alikwishatuambia bila misaada anayoomba tutakufa na njaa.
 
Mashoga wenyewe wa kutetewa wako wapi na wangapi kwa Tanzania hadi tukose cha kujadili ni kuwaongea wao. watoke hadharani na tuwafanyie sensa ikiwezekana tumpe Cameroon orodha yao awatafutie pa kuishi ili kulinda haki zao anazotaka yeye.
Inanambo, umeongea la msingi, idadi ndogo ya ******* na Wasagaji waliopo nchini, tena huku ikieleweka, na wenyewe wakielewa kuwa ni kinyume kabisa cha maumbile alivyotuumba Mungu wa dini zetu hapa Tz, kinyume cha Maadili yetu ya Kiafrika, isiwe ndo sababu ya kuhalalisha uchafu huo ambao ni Maadili ya kiFreemason, mbona na wao hawaingizi kwenye sheria zao maadili ya Kiafrika ya kuoa wake wengi kama afanyavyo Jacob Zuma? Kum*ny*ko zao, waishie huko na misaada yao, Hatutaishi kwa Mkate tu!
 
Inawezekana mzee Mugabe alikuwa sawa alipomtusi kipindi kile Tonny Blaire kuwa na ye ni mkuu wa mashoga

na inawezekana hata cameron naye ni shoga pia, hata mwonekano na vituko vyake vinatia mashaka sana
 
hawa watu sasa wanaonekana kwamba wametuchoka yaani kama ile story ya we kaka jambazi vile
kwamba ili tusaidiwe vijana wetu tuwaruhusu waishi kisenge ?

Kweli akufukuzae hakwambii wametuchoka sasa wanatuangamiza kaka.................
 
Sasa chadema itoe msimamo wake kuhusiana na swala la ushoga kama kigezo cha msaada.
 
HUU ni udhalilishaji,,, tusikubali kuuza utu maaana kwa maana hiyo ni sawa kwamba tunaambiwa lazima tuwe machoko ndo tupewe misaada
Mtoto wa kiume kaponzwa na bia "kashika ukuta" Mbona haya ni mambo ya kawaida kabisa. Kama unapenda kusaidiwa saidiwa, jiandae na kupakatwa pia.Wameona kila siku mtu kuomba omba hachoki, sasa unapewa masharti unarusha ngumi! Jitegemee acha omba omba, vya watu vichungu utavishwa khanga!
 
Back
Top Bottom