Hivi sasa Zanzibar inaongozwa na serikali ya umoja wa Kitaifa kati ya Chama cha Mapinduzi , CCM na Chama cha Wananchi , CUF. Je kuna sababu ya msingi kuwa na serikali ya aina hiyo Tanzania bara...
Askari wa usalama barabarani wamepewa madaraka makubwa kuliko uwezo wa ufikiri wao na elimu yao. Askari usalama barabarani ana mamlaka ya kukusimamisha, kukupa makosa na pia kukuadhibu. Hawa...
Maandamano ni haki ya kila mtu duniani popote. Wanaposema kuna taarifa za kiitelinjisia kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani kwenye maandamano basi kazi ya polisi ni kupambana na hizo taarifa sio...
Taarifa zilizonifikia ni kuwa M/Kiti wa Cdm Freeman Mbowe atajisalimisha kwa dola ya magamba leo baada ya kuzungumza na waandishi wa habari katika eneo la siri. Awali inadaiwa alitaka kuongea...
Ninaomba nisieleweke vibaya jamani. Huu ni mnakasha kama minakasha mingine tu. Kuna minakasha zaidi ya milioni mbili hapa JF. Basi tuongeze na huu hapa.
Kwamba, Aga Khan Hospital, moja ya...
MUSWADA wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011 unatarajiwa kusomwa bungeni kwa mara ya pili wiki ijayo na kujadiliwa kwa siku tatu mfululizo.
Pamoja na hilo, hoja binafsi za wabunge...
Ukweli wananchi wa Tanganyika na Zanzibar wanalalamikia muungano hauna tija kwao wao. Asa inakuwaje tunaingia katika katiba mpya viongozi wanachimba mkwara kuwa Hoja ya Kuvunja Muungano hata kama...
Wabunge wangaka
Wabunge jana waligeuka mbogo wakiitaka Ofisi ya Spika, kuchukua hatua kukomesha kile walichokiita unyanyasaji unaofanywa dhidi yao na polisi katika matukio ya kuwakamata...
SIKU moja baada ya gazeti la Tanzania Daima kuandika habari ya kupotea kwa Askofu wa Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship, Mulilenge Mkombo na polisi kukanusha, mkewe...
Kwa kuangalia mwenendo wa siasa katika nchi yetu, hakuna uhakika kama wanasiasa katika nchi yetu wanajadiliwa kwa usawa. Je kuna usawa? Kama upo ni kwa namna gani upo? Na kama haupo ni kwa nini na...
Wazee wetu wana kila sababu ya kusherehekea maendelea ya tangu kupatikana kwa uhuru yani miaka 50 iliyopita, mfano ongezeko la miundo mbinu, nyenzo, mawasiliano, nk, lakini Tanzania inapaswa...
Maandamano yoyote ambayo yamepata kufanikiwa ni yale ambayo hayasubiri kupata kibali cha polisi.Ni lazima tufahamu kuwa polisi nao wanataka kuandamana lakini kutokana na miiko ya kazi zao hawawezi...
Nani wakujibu mapigo?.........Nilitaka kujua tuu kama Mh Mizengo kayanza peter Pinda
alikuwa akimaanisha nini kuhusu kujibu mapigo?
Je ni polisi kujibu mapigo au ni wanaachama wa ccm maslahi...
Yule mtoto wa malikia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya...
Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbrod Slaa na mkurugenzi wa sheria wa chama hicho Tundu Lissu na wafuasi wengine kumi wa chama hicho wanafikishwa mahakamani muda mfupi ujao jijini Arusha.
Kuna hatari...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya M.Kiti wa CDM taifa ni kuwa leo hakutakuwa na maandamano kama ilivyotangazwa awali hapo jana.
Hii ni kutokana namazungumzo ambayo yameanza tangu jana huko...
Tumewaona Polisi mala nyingi mno wakikataza na kuzuia maandamano na mikutano kwa sababu za KIINTELIJENSIA sasa! kinacho nishangaza hapo kama mmeambiwa hizo taalifa za kiintelijensia mmezipata kwa...
Ndugu wana JF naleta kwenu hii maada na muone maafisa Uhamiaji wa Tanzania tulivyo wa ajaabu.Kisa ni kama hivi.Mtu anaenda Ubalozi wa Tanzania kama vile Marekani anataka kuja Tanzania kufanya...
hayo yamesemwa na Mbunge wa chadema Mh. Sylvester Kasulumbai wakati wakimpongeza mgombea ubunge wa Igunga bwana Kashindye kwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi ulioisha hivi karibuni huko Igunga...