figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,194
- 64,629
hayo yamesemwa na Mbunge wa chadema Mh. Sylvester Kasulumbai wakati wakimpongeza mgombea ubunge wa Igunga bwana Kashindye kwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi ulioisha hivi karibuni huko Igunga Tabora.mia